Yehodaya acha unafiki.....
Wewe ni CCM ambaye huwa unajawa na maslahi yako na si masuala mtambuka ya imani kuu ya chama kwa ajili ya mustakabali na umoja wa nchi......
Let me open a Pandora box.....
Wewe umbaguzi....
Wewe umkabila....
Wewe umdini......
Tunajuana humu DAHARI.....hujawahi hata siku moja kuukosoa utawala wa CCM wa awamu ya 5......
Ni CCM ileile iliyokuwa chini ya JPM na sasa chini ya mh.Rais SSH....
Ni CCM ileile itakayobaki baada ya mh.Rais SSH kuachia uongozi wa chama chetu.....
Hivi mlisomea ITIKADI wapi ?!!!
Itikadi ya chama ni kwa ajili ya maslahi yenu binafsi ?!!!!



Chama kinafundisha kutokukosoa HADHARANI...wewe unafanya kinyume chake.....
Mnafiki mkubwa wewe
#SiempreJMT