Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,276
C'mon comrade....an illusion is not a reality at prisms.....If you are part of it indeed, is an illusion; for a person like me thats my reality. Tutawakomesha mpende au msipende
C'mon comrade....an illusion is not a reality at prisms.....If you are part of it indeed, is an illusion; for a person like me thats my reality. Tutawakomesha mpende au msipende
1. Jerry SlaaCCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wengine kuwa chokambaya.
Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?
CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Live it or leave it.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yehodaya acha unafiki.....Una hoja CCM imejaa wengi Thief tanks sio think tanks kama zamani

Acha kutisha watu, huko ndani nani huwa anathubutu kukosoa? Chama kimeshaji compromise, kina linda watu badala ya ideology yake, wana nchi na rasilimali ya nchi...Hii inafika mwisho, jiandaeni na mjue huu ndiyo mwisho wenu na mwanzo wa CCM ile iliyo asisiwa 1977Yehodaya acha unafiki.....
Wewe ni CCM ambaye huwa unajawa na maslahi yako na si masuala mtambuka ya imani kuu ya chama kwa ajili ya mustakabali na umoja wa nchi......
Let me open a Pandora box.....
Wewe umbaguzi....
Wewe umkabila....
Wewe umdini......
Tunajuana humu DAHARI.....hujawahi hata siku moja kuukosoa utawala wa CCM wa awamu ya 5......
Ni CCM ileile iliyokuwa chini ya JPM na sasa chini ya mh.Rais SSH....
Ni CCM ileile itakayobaki baada ya mh.Rais SSH kuachia uongozi wa chama chetu.....
Hivi mlisomea ITIKADI wapi ?!!!
Itikadi ya chama ni kwa ajili ya maslahi yenu binafsi ?!!!!
Chama kinafundisha kutokukosoa HADHARANI...wewe unafanya kinyume chake.....
Mnafiki mkubwa wewe
#SiempreJMT![]()
Kuna mtu amepinga kuwa chama kina baadhi ya makada wasio watiifu kwa mustakabali wa taifa letu ?!!!Acha kutisha watu, huko ndani nani huwa anathubutu kukosoa? Chama kimeshaji compromise, kina linda watu badala ya ideology yake, wana nchi na rasilimali ya nchi...Hii inafika mwisho, jiandaeni na mjue huu ndiyo mwisho wenu na mwanzo wa CCM ile iliyo asisiwa 1977

Wewe ulibemendwa na Thief Tanks utotoni. Utendaji wenu ma-Thief Tanks unawachongea jeneza bila kujuwa. Lini SSH alipinduliwa kama ulivyoandika?
Umeamua kuongea kinachoufurahisha moyo wako.....
Umeamua kuandika HISIA zako na si UHALISIA....CCM ni chama HALISI....kiko na kinaishi.....
Acha ujinga....CCM kinabaki chama bora kuliko vyote afrika kwa kusimama imara kupita nyakati zote ngumu za MAJARIBU....
Ingekuwa CCM si chama kilichojaza THINK TANKS leo hii KIFO CHA HAYATI JPM kingelisombelea mbali taifa hili na kujiunga katika mataifa yasiyo na THINK TANKS bora
CCM kikabaki imara...
Nchi ikaendelea kutulia...
Si majeshi yaliyopindua URAIS wa mh.SSH....
Si wendawazimu wachache walioweza kulichoma moto taifa hili bora duniani.....
#SiempreCCM
#MuunganoDaimaDumu
#Karibu Al Kasus hapa kijiweni CHOKOCHO![]()
Ni CCM au nchi? CCM ilijiuzulu jukumu la kujenga nchi na kuwaza juu ya maendeleo ya nchi mwaka 1992 baada ya kuruhusu vyama vingi. Badala yake ikachukua jukumu la kupambana na vyama shindani.CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wengine kuwa chokambaya.
Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?
CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Live it or leave it.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Katafakari hili; CCM imeacha kusimamia misingi yake na kuna ambao wamejibinafsishia chama kwa migongo ya nafasi za uongozi...Muundo wa CCM unahitaji marekebisho makubwa kwakua imeshadhihirika kila anaye assume role ya uongozi wa juu anakuwa na impunity inayopelekea ku behave bila kujali (i.e corrupted by power) na as a consequence wanaitumia ku foster personal interests badala ya ku strengthen ideology ya chama na kujenga welfare ya watu wa nchi hii kama ilivyokuwa the primary objective ya chama.Kuna mtu amepinga kuwa chama kina baadhi ya makada wasio watiifu kwa mustakabali wa taifa letu ?!!!
Chama chochote makini hakikosi watu wa aina hiyo.....
CCM bado inaendelea kusimamia misingi yake ya mustakabali wa utulivu wa taifa hili.....kinyume chake tungeshakuwa kama ETHIOPIA......
Labda ni hili tu lililo tofauti na 1977...mkuu unataka CCM kirudishe AZIMIO LA ARUSHA ?!!!![]()
Kwanini Mbeya (kabla ya Songwe) imepopoa mawe rais mara 2?Hivi CHADEMA kinaweza kuzalisha THINK TANKS iliyoko CCM?!!!
Hivi kweli ACT WAZALENDO kinaweza kuzalisha THINK TANKS iliyojaa CCM ?!!!
CCM ni imani....
CCM kimeendelea kusimamia IMANI YAO kuu ya PILI....
-Kila mtu anastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
CCM kimeendelea kupinga UKABILA ambao ndio unaozitafuna nchi zinazotuzunguka.....
Ni juzi tu mh.Mbowe amembagua mh.Rais SSH kwa UZANZIBARI wake.....
CCM kamwe haitoruhusu migawanyiko ya KIKABILA ,KIKANDA NA KIDINI ambayo baadhi ya wanasiasa wa ndani na nje wameamua kuitumia
#SiempreJMT![]()
Hao ni kizazi cha kupigania uhuru. Uhuru wenyewe umeshathibitika kuwa si lolote si chochote. Watu wanataka mafanikio na maisha yenye furaha na uhuru. Huwezi kuwa maskini na tegemezi kiuchumi kisha ukajitapa kuwa upo huru. Kwani uhuru wako utakuwa umeshikiliwa mifukoni mwa wenye mitaji, teknolojia, elimu, na bidhaa zinazohitajika.Wewe ulibemendwa na Thief Tanks utotoni. Utendaji wenu ma-Thief Tanks unawachongea jeneza bila kujuwa. Lini SSH alipinduliwa kama ulivyoandika?
Ushindi wa kusheheni vikosi ndani yenu na kwenye michakato ndiyo ushindi unaotokana na mawazo ya Think Tanks au Thief Tanks? Tarehe yako ya kurudi Mirembe ni ipi wewe?
Nani CCM leo anawaishi wafuatao?
1. Mwl. Nyerere.
2. Rashid Kawawa.
3. John Rupia.
4. Amir Habib Jamal.
5. Dosa Aziz.
6. Thabit Kombo.
7. Abeid Karume.
8. Prof. Mohammed Babu.
9. Sheikh Amri Abeid.
Kuwataja lakini wachache.
Think Tanks wanawezaje kuiba kura kwa mtutu kama siyo Thief Tanks?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hao hao ambao wanajipa uongozi kwa nguvu ndiyo wanaotufukarisha kwakua hawana means za ku create wealth zaidi ya kujua kutumia vilivyozalishwa....KATIBA MPYA itakayotoa fursa sawa bila kuruhusu power kwa mtu na kundi lake bila check and balance ndiyo jibu la mwisho la udhalili huu.Hao ni kizazi cha kupigania uhuru. Uhuru wenyewe umeshathibitika kuwa si lolote si chochote. Watu wanataka mafanikio na maisha yenye furaha na uhuru. Huwezi kuwa maskini na tegemezi kiuchumi kisha ukajitapa kuwa upo huru. Kwani uhuru wako utakuwa umeshikiliwa mifukoni mwa wenye mitaji, teknolojia, elimu, na bidhaa zinazohitajika.
Kumbe ninaongea na mgonjwa wa LUTINDI ambaye ameamua kufikia "mshindo" wa kihisia kwa kuishambulia CCMWewe ulibemendwa na Thief Tanks utotoni. Utendaji wenu ma-Thief Tanks unawachongea jeneza bila kujuwa. Lini SSH alipinduliwa kama ulivyoandika?
Ushindi wa kusheheni vikosi ndani yenu na kwenye michakato ndiyo ushindi unaotokana na mawazo ya Think Tanks au Thief Tanks? Tarehe yako ya kurudi Mirembe ni ipi wewe?
Nani CCM leo anawaishi wafuatao?
1. Mwl. Nyerere.
2. Rashid Kawawa.
3. John Rupia.
4. Amir Habib Jamal.
5. Dosa Aziz.
6. Thabit Kombo.
7. Abeid Karume.
8. Prof. Mohammed Babu.
9. Sheikh Amri Abeid.
Kuwataja lakini wachache.
Think Tanks wanawezaje kuiba kura kwa mtutu kama siyo Thief Tanks?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Hebu twende kwa mifano kamarada wangu....Katafakari hili; CCM imeacha kusimamia misingi yake na kuna ambao wamejibinafsishia chama kwa migongo ya nafasi za uongozi...Muundo wa CCM unahitaji marekebisho makubwa kwakua imeshadhihirika kila anaye assume role ya uongozi wa juu anakuwa na impunity inayopelekea ku behave bila kujali (i.e corrupted by power) na as a consequence wanaitumia ku foster personal interests badala ya ku strengthen ideology ya chama na kujenga welfare ya watu wa nchi hii kama ilivyokuwa the primary objective ya chama.

Kwa sababu ya ujinga wao upumbavu uliowajaa....Kwanini Mbeya (kabla ya Songwe) imepopoa mawe rais mara 2?
Kwanini Mwanza walimvamia mgombea urais jukwaa kuu?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

Kusema na ule ukweli CCM na Mkoloni bora Mkoloni.

Uko sahihi Kamaradi. Mbona Makada na Makamisaa wafuatao wanakosoa CCM hadharani kweupe kwenye Media? Ina maana hawajui Maadili ya Chama? Mbona hawachukuliwi hatua?Acha kutisha watu, huko ndani nani huwa anathubutu kukosoa? Chama kimeshaji compromise, kina linda watu badala ya ideology yake, wana nchi na rasilimali ya nchi...Hii inafika mwisho, jiandaeni na mjue huu ndiyo mwisho wenu na mwanzo wa CCM ile iliyo asisiwa 1977