CCM Think Tanks wamekufa wamesalia Thief Tanks

CCM Think Tanks wamekufa wamesalia Thief Tanks

Hao hao ambao wanajipa uongozi kwa nguvu ndiyo wanaotufukarisha kwakua hawana means za ku create wealth zaidi ya kujua kutumia vilivyozalishwa....KATIBA MPYA itakayotoa fursa sawa bila kuruhusu power kwa mtu na kundi lake bila check and balance ndiyo jibu la mwisho la udhalili huu.
KATIBA MPYA yenye kipengele kuwa Rais anaweza kushtakiwa ILI TUWE kama SA?!!!!

KATIBA MPYA inayotenganisha kofia za uenyekiti na urais wa nchi ili tupitie walichopitia/wanachopitia Burundi pamoja na Pierre Nkurunzinza na mwenyekiti wake Hussein Rajab?!!

Bora tu tuendelee na katiba iliyopo maana KATIBA inaangalia maslahi mapana mno na si tu ya KISIASA NA WANASIASA

#SiempreJMT
 
Uko sahihi Kamaradi. Mbona Makada na Makamisaa wafuatao wanakosoa CCM hadharani kweupe kwenye Media? Ina maana hawajui Maadili ya Chama? Mbona hawachukuliwi hatua?

1. Mwl Nyerere (aliyetunga hiyo miiko alidiriki kukikosoa CAN hadharani na ku-declare CCM siyo Bin Mugaya, alichukuliwa hatua gani?)

2. Jaji Warioba.

3. Joseph Butiku.

4. Balozi Karume.

5. Dkt. Wilbroad Slaa (ana kadi ya CCM hadi leo)

6. Agostino Mrema (amekufa na kadi ya CCM)

7. Edward Lowassa.

8. Frederick Sumaye.

9. Kingunge Ngombale Mwiru.

10. Humphrey Polepole.

11. Bashiru Ali Kakurwa.

12. Emmanuel John Nchimbi.

13. Bernard Membe.

Orodha ni ndefu ya wanaokosoa CCM nje ya vikao na hawachukuliwi hatua.

Wafuatao walikosoa CCM ya awamu ya 5 hadharani na bado wako serikalini na chamani:-

1. Nape Nnauye.
2. Kinana (hadi akaomba msamaha).
3. Januari Makamba.


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT

KUKUSOA CHAMA HADHARANI NI KOSA acha kukikimbia kivuli chako
 
Uko sahihi Kamaradi. Mbona Makada na Makamisaa wafuatao wanakosoa CCM hadharani kweupe kwenye Media? Ina maana hawajui Maadili ya Chama? Mbona hawachukuliwi hatua?

1. Mwl Nyerere (aliyetunga hiyo miiko alidiriki kukikosoa CAN hadharani na ku-declare CCM siyo Bin Mugaya, alichukuliwa hatua gani?)

2. Jaji Warioba.

3. Joseph Butiku.

4. Balozi Karume.

5. Dkt. Wilbroad Slaa (ana kadi ya CCM hadi leo)

6. Agostino Mrema (amekufa na kadi ya CCM)

7. Edward Lowassa.

8. Frederick Sumaye.

9. Kingunge Ngombale Mwiru.

10. Humphrey Polepole.

11. Bashiru Ali Kakurwa.

12. Emmanuel John Nchimbi.

13. Bernard Membe.

Orodha ni ndefu ya wanaokosoa CCM nje ya vikao na hawachukuliwi hatua.

Wafuatao walikosoa CCM ya awamu ya 5 hadharani na bado wako serikalini na chamani:-

1. Nape Nnauye.
2. Kinana (hadi akaomba msamaha).
3. Januari Makamba.


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT....

Kukosoa CHAMA hadharani ni KOSA....usikikimbie kivuli chako
 
Kuna mtu amepinga kuwa chama kina baadhi ya makada wasio watiifu kwa mustakabali wa taifa letu ?!!!

Chama chochote makini hakikosi watu wa aina hiyo.....

CCM bado inaendelea kusimamia misingi yake ya mustakabali wa utulivu wa taifa hili.....kinyume chake tungeshakuwa kama ETHIOPIA......

Labda ni hili tu lililo tofauti na 1977...mkuu unataka CCM kirudishe AZIMIO LA ARUSHA ?!!!
Ndiyo Azimio la Arusha lirudi tu na ndilo litaokoa chama kwa sababu hakuna maandiko yanayosema ukwasi unapatikana kwenye chama.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Katafakari hili; CCM imeacha kusimamia misingi yake na kuna ambao wamejibinafsishia chama kwa migongo ya nafasi za uongozi...Muundo wa CCM unahitaji marekebisho makubwa kwakua imeshadhihirika kila anaye assume role ya uongozi wa juu anakuwa na impunity inayopelekea ku behave bila kujali (i.e corrupted by power) na as a consequence wanaitumia ku foster personal interests badala ya ku strengthen ideology ya chama na kujenga welfare ya watu wa nchi hii kama ilivyokuwa the primary objective ya chama.


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hao hao ambao wanajipa uongozi kwa nguvu ndiyo wanaotufukarisha kwakua hawana means za ku create wealth zaidi ya kujua kutumia vilivyozalishwa....KATIBA MPYA itakayotoa fursa sawa bila kuruhusu power kwa mtu na kundi lake bila check and balance ndiyo jibu la mwisho la udhalili huu.


Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ninaongea na mgonjwa wa LUTINDI ambaye ameamua kufikia "mshindo" wa kihisia kwa kuishambulia CCM

Unataka wanaCCM waishi kama makomredi wetu wa zamani....huu nao ni UCHIZI....

BINADAMU punguani ndiye anayetaka kuishi kama mwenzake "fulani"..... nilitegemea useme kuwa CCM haina tena IMANI imani....si katika utendaji wao na wala si katika makabrasha yao.....na hili si KWELI....

Kama CCM ingekwenda kaburini na hao makomredi wetu uliotutajia basi ujue UKABILA ,UDINI NA UKANDA ungekuwa umeshalisambaratisha taifa hili.....

Taifa lipo na changamoto mpya ambazo hazikuwepo kipindi cha akina JOHN RUPIA

CCM kinaendelea kulisimamia taifa na changamoto zake nyingi....MAADUI WA NDANI NA NJE YA NCHI wamewazidi kiidadi waliokuwepo huku nyuma.....

Mathalani CCM kilipambana dhidi ya UGAIDI wa KIKOMUNISTI....leo kinaendelea kupambana dhidi ya aina nyingi zaidi za UGAIDI zikiwepo UGAIDI WA KIDINI NA KIIMANI ZA DINI....

Amka wewe mzee
Ukomunisti upi ulifanya ughaidi duniani? Ni Ujamaa wa CCM ndiyo uliendesha ughaidi kwenye chaguzi za ndani na majirani zetu na kwenye ukombozi Kusini Mwa Afrika. Wewe zuzu uliyesoma Civics ya kusifia viongozi huwezi kuingia ligi na sisi tuliosoma siasa. Wewe endelea kutoa tigo Lumumba huenda uzeeni ukazawadiwa Ujumbe wa Shina kule Mkunazini maana hiyo ndiyo saizi yako.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT

KUKUSOA CHAMA HADHARANI NI KOSA acha kukikimbia kivuli chako
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT.

Hiyo DOESN'T ifanye DON'T ili isomeke hivi:-

TWO WRONGS DON'T MAKE ONE RIGHT.

Vihiyo mmejaza Lumumba hadi wengine mnasubiri ku-flush magogo ya viongozi/makada wakimaliza ku-poop

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Matatizo mnayaleta nyie CCM wenyewe halafu mnakuja kujiliza hapa tena?

Tatizo kubwa mleta mada unaloliona lilianzia hapa , mkurugenzi wa tume akawa anampigia kampeni mgombea wa CCM na kutii maelekezo yaliyotuletea kile kikundi kinachokaa kaa pale kwenye jengo lililojengwa kwa kodi za wananchi.

Watu walifanyiwa "rough" kwa kuenguliwa na hata mawakala wa vyama pinzani kutekwa siku moja kabla na wengine siku ya uchaguzi.

Akamalizia na kuzima huduma ya internet kwa muda wa siku tano tangua siku ya uchaguzi asubuhi , mnamuita shujaa huyu ndio kawafikisha hapa mlipo mkataba unapita kwa wingi sababu watu wengi walioenda kule walipelekwa na hata hawajui wasimamie wapi.
JamiiForums1397431097.jpg
 


Umeamua kuongea kinachoufurahisha moyo wako.....

Umeamua kuandika HISIA zako na si UHALISIA....CCM ni chama HALISI....kiko na kinaishi.....

Acha ujinga....CCM kinabaki chama bora kuliko vyote afrika kwa kusimama imara kupita nyakati zote ngumu za MAJARIBU....

Ingekuwa CCM si chama kilichojaza THINK TANKS leo hii KIFO CHA HAYATI JPM kingelisombelea mbali taifa hili na kujiunga katika mataifa yasiyo na THINK TANKS bora

CCM kikabaki imara...

Nchi ikaendelea kutulia...

Si majeshi yaliyopindua URAIS wa mh.SSH....

Si wendawazimu wachache walioweza kulichoma moto taifa hili bora duniani.....

#SiempreCCM

#MuunganoDaimaDumu

#Karibu Al Kasus hapa kijiweni CHOKOCHO
Hata hiki unachojivunia ni ujinga!

Onyesha ni wapi ccm wametumia akili katika jambo la kimkataba ya kimataifa?
 
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wengine kuwa chokambaya.

Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?

CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?

CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Live it or leave it.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Unafiki wa Wanaccm
1996654521.jpg
 
Back
Top Bottom