Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,473
- 529
wandugu, ni mawazo tu, mi nafikiri tatizo litakaloiua ccm si ufisadi bali ni makamanda feki wa kupinga ufisadi, kisa uwaziri mkuu machungu yakazidishwa na uspika. Vita vya panzi na furaha ya kunguru. Matokeo yake ndo haya tunayoyaona hakuna vita halisi juu ya ufisadi. Ningekuwa presida ningeanza nae potelea pote.
Wandugu, ni mawazo tu, mi nafikiri tatizo litakaloiua CCM si ufisadi bali ni makamanda feki wa kupinga ufisadi, kisa uwaziri mkuu machungu yakazidishwa na uspika. vita vya panzi na furaha ya kunguru. matokeo yake ndo haya tunayoyaona hakuna vita halisi juu ya ufisadi. Ningekuwa presida ningeanza nae potelea pote.

We umepewa hela na mafisadi nini. KAma umeshiba maharage nenda kalale sio unatuletea upuuzi hapa. Sitta ni mtuu pekee aliyewapinga mafisadi bila kuogopa sasa wewe unataka awakenulie meno huku moyoni analia kama mlivyo watz wengi!!!!
Pole sana ndugu kama bado umenasa kwenye mtego wa Sitta, huyu Sitta ni sawa na popo si ndege na wala si mnyama, Sitta ni fisadi kama walivyo mafisadi wengine ndani ya ccm, chunguza kwa makini malengo ya kisiasa ya Sitta na fuatilia kwa makini maisha anayoishi ndio utaujuwa upande wa pili wa huyu mnafki.We umepewa hela na mafisadi nini. KAma umeshiba maharage nenda kalale sio unatuletea upuuzi hapa. Sitta ni mtuu pekee aliyewapinga mafisadi bila kuogopa sasa wewe unataka awakenulie meno huku moyoni analia kama mlivyo watz wengi!!!!
Kamanda Sitta akisikiliza kwa makini hotuba bungeni.We umepewa hela na mafisadi nini. KAma umeshiba maharage nenda kalale sio unatuletea upuuzi hapa. Sitta ni mtuu pekee aliyewapinga mafisadi bila kuogopa sasa wewe unataka awakenulie meno huku moyoni analia kama mlivyo watz wengi!!!!
Wandugu, ni mawazo tu, mi nafikiri tatizo litakaloiua CCM si ufisadi bali ni makamanda feki wa kupinga ufisadi, kisa uwaziri mkuu machungu yakazidishwa na uspika. vita vya panzi na furaha ya kunguru. matokeo yake ndo haya tunayoyaona hakuna vita halisi juu ya ufisadi. Ningekuwa presida ningeanza nae potelea pote.
Mheshimiwa Rais wa Jumahuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama tawala CCM TUNAKUOMBA umtimue huyu BABU SITA kwenye baraza la mawaziri na hata kama ikiwezekana anyanganywe kadi ya CCM
We umepewa hela na mafisadi nini. KAma umeshiba maharage nenda kalale sio unatuletea upuuzi hapa. Sitta ni mtuu pekee aliyewapinga mafisadi bila kuogopa sasa wewe unataka awakenulie meno huku moyoni analia kama mlivyo watz wengi!!!!
Kamanda Sitta akisikiliza kwa makini hotuba bungeni.
ccm cham cha mazuzu***** na watu wenye akili za kawaida na mbaya kabisa, Sitta kilema wa ufahamu, na hao wengine ni watu wasio aminika kabisa, hiko ni chama kinachoangamia ....! kazi yao malumbano,. kelele na rushwa kama si Ufisadi
Mkuu mbona tunasahau kirahisi? Hivi kujenga ofisi ya spika jimboni kwa mbunge si ufisadi? Hivi kupigia upatu maposho lukuki ya wabunge si ufisadi huo?
Mwenyekiti wa chama chenu hawawezi kugusa maana sasa Sitta ana nguvu kuliko wakati wowote poleni sana.