Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,319
- 111,475
Sasa hapo umebalance nini mwizi wewe... Dr Slaa hajawahi kufumaniwa ndo maana yuko na mchumba wake hadharani... Dr Slaa ana akili timamu kuliko JK anayeanguka anguka na ambaye ndio boss wao hao vijana wahuni.... Unaelewa maana ya kusingizia wewe nyang'au???UVCCM wako sahihi kabisa! Kwani hawaja msingizia jambo lolote Dr wa Phd ya ukweli nashangaa mapovu yanvyo watoka midomoni humu JF! Imewauma sana! Hongera UVCCM kwa Tamko lenu! Alta Continuaaa!
With UVCCM i doubt it kama wanaweza ni ndoto
Do you mean UVCCM is about to do the same? Maybe in 100 yrs!
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.
Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
That is how sisiem operates . Tambwe ameshindwa na propaganda zake, sasa wamehamia vijana kufikisha propaganga. Mpaka pataeleweka tu.Hapana.. kama CCM Taifa hawatachukua hatua yoyote dhidi ya viongozi hawa wa vijana ambao naamini wamevunja maadili ya uongozi wa CCM (I know I know) na vile vile nadhani wamevunja miiko ya uongozi basi ni wazi kuwa tamko lao limepata baraka toka juu. Kama hili ni kweli basi siku zinazokuja zitakuwa ni za aibu sana kwa uongozi wa taifa letu.
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.
Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
I'm very serious; kuna msemo wa kiingereza kuwa "all is fair in love and war".. na UVCCM wamethibitisha hilo. Tatizo ni kuwa kikaango kitakapogeuzwa kwa upande mwingine patakuwa pachungu kweli.
KAKA!!!!! ukweli ukielekezwa kwa SLAA hugeuka na munayaita kuwa matusi, na matusi yakielekezwa kwa JAKAYA huwa mnageuka na kuyaita UKWELI.Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.
Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
2. Pili wanadai Dowans isilipwe vinginevyo watahitisha maandamano