Taarifa za kiinteligensia za CCM zimetaarifu kwmba mziki wa UKAWA ni mzito sana. Wamegundua kwamba kukaa mle mjengoni na kupiga ngonjera kama walivyozoea itakula kwao. Ndio sababu wanaona nao waingie mtaani. Lakini ukweli ni kwamba hawatasikilizwa labda huko wilaya ya Nyasa kwa mzee wa msituni Komba na Bagamoyo kwa prince Riz1
wewe kenge usitupangie namna kupigana vita hii; waambie hao mabwana zako waliokutuma CCM itakanyaga kila kona ya nchi hii kuelemisha watanzania; hao mabwana zako hofu zimewajaa; vita hii ni kaya kwa kaya mtaa kwa mtaa upoo hapoo kalumekenge wewe mjaa laana??
hiyo katiba mpya yenyewe Mme copy kwa cdm haikuwa ilani yenu sasa mcopy Mara ngapi???hat a gwanda zetu mshaa copy yaani nyie kweli ni vilaza Wa ubunifu then hapa we VUTA-NKUVUTE una Leta ushuzi wako kwani katiba in ya chama au wananchi???
Inashangaza nape na kinana kufuata nyayo za makamanda wa chadema kwenda kwa wananchi.kwanini na nyie msibuni mbinu nyingine ya kufikisha ujumbe kwa wananchi?mnakula hela za walipa kodi bure tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.