CCM, tafadhali bakini njia kuu

CCM, tafadhali bakini njia kuu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Kuiga si kuzuri. Kuiga kuna madhara yake. Kuiga huonesha kukosekana kwa ubunifu na umakini.Hatuwezi kuwaacha viongozi wa chama chetu wakaiga kila kitu kutoka kwa wapinzani.Si kila mapambano yanahitaji kuiga.Tulipoamua kubaki Bungeni na UKAWA wakatoka nje ya Bunge tulikuwa sahihi kwa mitazamo yetu ya kichama.Kwanini sasa tunabadilika?

UKAWA wamechagua mapambano nje ya Bunge la Katiba. Tungewaacha waendelee na sisi tuendelee na misimamo ya kichama ya kuendelea kujadili Rasimu kadiri ya matakwa na misimamo ya kichama.Ya mbele tutajua hukohuko.Kubadilika sasa na kujaribu kufuta nyayo za UKAWA ni kuonesha kuwa sasa chama kinatikisika na kutishika. Ni kuonesha kuwa,nasi tulipaswa kususia Bunge!

CCM si 'photocopy machine'.Ni chama chenye Idara nyeti na zilizokamilika.Iweje Idara inayohusiana na ubunifu wa kisera isibuni aina tofauti ya mapambano ya kisiasa badala ya kufuata kila kinachofanywa na upinzani!? Tukishindwa na mikutanoni itakuwaje? Kuna kushindwa kazi.Kuna kubaki nyuma.Kuna kufika mwisho wa ufikiri na ubunifu. Si jambo la kuchewa kichama.Linatudhalilisha.Linatufifisha.

Tafadhali tubaki na misimamo yetu.Tubaki njia kuu.Michepuko (kuigaiga) siyo dili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Ni bora walivyochepuka ili wajionee uhalisia wa mambo huku mtaani. Nafikiri Mwezi August watabadili msimamo ili uendane na ripoti ya Jaji Warioba na kuacha siasa za kinafiki na mipasho. Sometime an old dog can learn a new simple trick.
 
Kimsingi mfumo sahihi ulikuwa ni wa serikali moja.
Jambo ambalo wanasiasa wote wanaliogopa kwa kuihofia Zanzibar.
Na pia hakuna jambo ambalo ccm hawajaiga.
Harakati zao zote ni copy and paste
 
Kuiga si kuzuri. Kuiga kuna madhara yake. Kuiga huonesha kukosekana kwa ubunifu na umakini.Hatuwezi kuwaacha viongozi wa chama chetu wakaiga kila kitu kutoka kwa wapinzani.Si kila mapambano yanahitaji kuiga.Tulipoamua kubaki Bungeni na UKAWA wakatoka nje ya Bunge tulikuwa sahihi kwa mitazamo yetu ya kichama.Kwanini sasa tunabadilika?

UKAWA wamechagua mapambano nje ya Bunge la Katiba. Tungewaacha waendelee na sisi tuendelee na misimamo ya kichama ya kuendelea kujadili Rasimu kadiri ya matakwa na misimamo ya kichama.Ya mbele tutajua hukohuko.Kubadilika sasa na kujaribu kufuta nyayo za UKAWA ni kuonesha kuwa sasa chama kinatikisika na kutishika. Ni kuonesha kuwa,nasi tulipaswa kususia Bunge!

CCM si 'photocopy machine'.Ni chama chenye Idara nyeti na zilizokamilika.Iweje Idara inayohusiana na ubunifu wa kisera isibuni aina tofauti ya mapambano ya kisiasa badala ya kufuata kila kinachofanywa na upinzani!? Tukishindwa na mikutanoni itakuwaje? Kuna kushindwa kazi.Kuna kubaki nyuma.Kuna kufika mwisho wa ufikiri na ubunifu. Si jambo la kuchewa kichama.Linatudhalilisha.Linatufifisha.

Tafadhali tubaki na misimamo yetu.Tubaki njia kuu.Michepuko (kuigaiga) siyo dili!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

we mzee ngoja waje vijana wako wa lm7 hapa
 
Mzee Tupatupa wahenga walisema " A divided army cannot defeat the enemy" Kama CCM kweli ni chama Kikongwe Africa, kimeshindwa kumpata Katibu wa Uenezi mnaangukia huyu Jamaa aliyesoma India kwa kuunga unga kweli? CCM kama kweli ni chama kikubwa kinaishia kumfanya Mkamba Baba, Mukama na sasa Kanali mstaafu Kinana kuwa Katibu Mkuu wa Chama, hii ni sawasawa na kupanda maharage na kutegemea kuvuna mahindi.

Nachelea kuitwa natukana waasisi kama ilivyozoeleka, Kama sasa wanafikiria kuunda wizara ya Jiji la Dar es salaam hao ni wazima kweli.
 
Ni bora walivyochepuka ili wajionee uhalisia wa mambo huku mtaani. Nafikiri Mwezi August watabadili msimamo ili uendane na ripoti ya Jaji Warioba na kuacha siasa za kinafiki na mipasho. Sometime an old dog can learn a new simple trick.

Sio kwamba hawajui nini kinaendelea mtaani, wanajifanya vipofu na viziwi huku ni wazima kabisa. Just imagine posho 300k, je hawajui mwalimu anapata kiasi gani? Ndo mana wengi wakistaafu wanakufa na pressure!
 
Wewe ndio unawaza hivyo, wenzako wanawaza kulipana posho... Siku 26 na kwa siku laki 5 wanazolipana, nadhani hapo unajibu kwa nini wanakimbizana na UKAWA
 
huwezi kupuuza copying namna hii wee mbabaishaji. duniani kote ikiwemo wazazi wako wanakopi na ku paste sema wewe unazeeka vibaya
 
wazazi wako wali copy issue ya marriage wakaoana wakakupata wewe, unalisemeaje hili???

cc.
mleta mada
 
hata wakichepuka wataumia tu labda waache utawala mbovu kwa wananchi kuiga kila kitu upinzani ni kukosa ubunifu na strategy mpya wanashndwa ku cope na mazingra ya nini wananchi wanataka wasome alama za nyakati
 
Nani kwakuambia CCM ya miaka hii ina sera au dira zaidi ya COPY AND PASTE! Agenda ya katiba mpya haikuwa agenda/sera ya CCM in the first place. CCM wamedandia train kwa mbele (train ya Katiba mpya) ndio maana sasa hawajui la kufanya wanacheza MIRINDIMO YA UKAWA!
 
C.c.m ni chama chakavu na cha wanyonyaji wakubwa katika nchi hii.
Hawana mikakati mipya zaidi ya kuiga kutoka kwa wapinzani.
 
Back
Top Bottom