CCM, tabu iko wapi kumtosa Diblo?

Tryagain

Member
Nov 23, 2021
66
436
Kwenye hili suala la bandari ni kama Diblo wants to remaining in defensive mode he want to shield himself from opposition. CCM wanatakiwa kumtosa haraka so that he is exposed and can face consequences for his own.

Sheria inasema ili Utumishi wa Umma uwe wenye ufanisi na wa kuheshimika, watumishi wanapaswa kuzifuata kanuni za maadili ya Utumishi lakini ni kinyume chake tamaa ya madaraka imesababisha kutufikisha hapa tulipo.

Diblo is trying to hide behind opposition to avoid be responsible kwa kushirikiana na watumishi wasio waaminifu. They just want easy way to demonise Samia’s government kwa kushirikiana na baadhi ya wapinzani. Huo ndiyo mpango mezani.

He created mess and stay quit kama siyo yeye kuvujisha hii mikataba usiku Mei 25, 2023 - Diblo, Kishoa, Mpaluka Mtopela na Shedrack Ndunguru walifanya majadiliano ambayo yalikuwa ya siri na baadhi ya watumishi nyumbani kwake Oysterbay na walikuwa watu saba.

Na kikao kingine Ijumaa ya tarehe 27 mei 2023 walirudi tena na kutoa azimio la kuvujisha nyaraka za serikali, Diblo Dibala amekuwa akifanya mazungmzo ya siri na Miss Kishoa kwa simu kupitia whatsapp call tangu kuvuja kwa mawasiliano ya awali baina ya wawili hao katika mitandao ya kijamii.

Jioni ya Jumanne tarehe 30, Mei 2023.
Kishoa, Mr. Shedrack na Mpaluka Mtopela walifanya kikao pamoja nyumbani kwa Jesca akiwa ameambatana na baadhi ya wasaidizi wa Diblo Dibala.

Timu Diblo kwa sasa wanatafuta Vijana wapya wenye sauti ndani ya chama watakaokuwa wanapinga sera za Mwenyekiti katika mitandao ya kijamii baadhi wameshaanza kazi hiyo.

I’m not saying that Samia will go home in 2025 lazima apige miaka yake kumi safi lakini haitakuwa rahisi hadi muda Unafika 2030, wapinzani ndani ya chama wataendelea kupiga kelele kama walivyofanya kwa Jakaya kikwete.

Kabla ya Diblo kuvujisha mikataba hii kulikuwa na minong’ono ya chinichini ya kuvunjwa kwa Baraza na wengi walishauri Rais aendelee na hawa waliopo kujaribu kupigania hali za maisha ya wananchi kwa kipindi kilichobakia na kuanza upya 2025 atakuwa amepata cream nzuri.

Diblo ana imani kuwa ataweza kutimiza ndoto zake za kuweka nadhiri ya kugombea kiti cha Urais 2025 ndani ya CCM. He’s so full of himself. He thinks he’s the best thing kukalia kiti cha Urais kwa sasa.

Usiku wa tarehe 31-05-2023 timu ya Diblo wamezungumza na Ramadhan Miundombinu msimamizi wa ofisi ya sheria na mikataba arudishe nyaraka halisi baada ya kunakili na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

However, all these bitter statements kutoka kwa Miss kishoa zimetoka siku chache kabla ya baraza la wafanyabiashara ambalo Kafulila ni Mjumbe na tarehe 1 mwezi wa sita nyaraka zote zimekuwa released na wamenukuliwa baadhi ya watu wa karibu na Diblo wakisema they know how to drive governments up the wall until Diblo gets what he wants.!!
 
PM?
 
Mmelikoroga wenyewe, mnataka kumlaumu Majaliwa. Vita na Majaliwa mmeshashindwa toka 2021. Ninyi ni weupe kweli vichwani. Mnadhani mtu mwenye akili anaweza kuunga mkono mkataba wa kijinga na hovyo kama ule?
 
Unataka urithi
 
Mwandishi anaweza kuwa right Rais Samia anahitaji kiongozi mtiifu na waaminifu wa kumlinda na kumsaidia kukubali kubeba lawama zote na kuchafuka kwa niaba ya Rais?
Yuko wapi kama ni huyu ni hapana?
Wewe Mapessa
 
Aliyevujisha mkataba huo awekwe kwenye vitabu vya kumbukumbu za MASHUJAA wa Taifa.

Pia mnawezaje kuuita mkataba bila sahihi ya mwanasheria mkuu?

Msimsingizie Maja, hayupo wa kumtoa hapo.

Tusubiri.
Naunga mkono hoja. Tena ajengewe na sanamu lake kabisa, karibu na pale litakapojengwa la shujaa wetu Magufuli. Kama taifa tunahitaji sana watu kama hao.
 
Kwenye hili suala la bandari ni kama Diblo wants to remaining in defensive mode he want to shield himself from opposition. CCM wanatakiwa kumtosa haraka so that he is exposed and can face consequences for his own.

Sheria inasema ili Utumishi wa Umma uwe wenye ufanisi na wa kuheshimika, watumishi wanapaswa kuzifuata kanuni za maadili ya Utumishi lakini ni kinyume chake tamaa ya madaraka imesababisha kutufikisha hapa tulipo.

Diblo is trying to hide behind opposition to avoid be responsible kwa kushirikiana na watumishi wasio waaminifu. They just want easy way to demonise Samia’s government kwa kushirikiana na baadhi ya wapinzani. Huo ndiyo mpango mezani.

He created mess and stay quit kama siyo yeye kuvujisha hii mikataba usiku Mei 25, 2023 - Diblo, Kishoa, Mpaluka Mtopela na Shedrack Ndunguru walifanya majadiliano ambayo yalikuwa ya siri na baadhi ya watumishi nyumbani kwake Oysterbay na walikuwa watu saba.

Na kikao kingine Ijumaa ya tarehe 27 mei 2023 walirudi tena na kutoa azimio la kuvujisha nyaraka za serikali, Diblo Dibala amekuwa akifanya mazungmzo ya siri na Miss Kishoa kwa simu kupitia whatsapp call tangu kuvuja kwa mawasiliano ya awali baina ya wawili hao katika mitandao ya kijamii.

Jioni ya Jumanne tarehe 30, Mei 2023.
Kishoa, Mr. Shedrack na Mpaluka Mtopela walifanya kikao pamoja nyumbani kwa Jesca akiwa ameambatana na baadhi ya wasaidizi wa Diblo Dibala.

Timu Diblo kwa sasa wanatafuta Vijana wapya wenye sauti ndani ya chama watakaokuwa wanapinga sera za Mwenyekiti katika mitandao ya kijamii baadhi wameshaanza kazi hiyo.

I’m not saying that Samia will go home in 2025 lazima apige miaka yake kumi safi lakini haitakuwa rahisi hadi muda Unafika 2030, wapinzani ndani ya chama wataendelea kupiga kelele kama walivyofanya kwa Jakaya kikwete.

Kabla ya Diblo kuvujisha mikataba hii kulikuwa na minong’ono ya chinichini ya kuvunjwa kwa Baraza na wengi walishauri Rais aendelee na hawa waliopo kujaribu kupigania hali za maisha ya wananchi kwa kipindi kilichobakia na kuanza upya 2025 atakuwa amepata cream nzuri.

Diblo ana imani kuwa ataweza kutimiza ndoto zake za kuweka nadhiri ya kugombea kiti cha Urais 2025 ndani ya CCM. He’s so full of himself. He thinks he’s the best thing kukalia kiti cha Urais kwa sasa.

Usiku wa tarehe 31-05-2023 timu ya Diblo wamezungumza na Ramadhan Miundombinu msimamizi wa ofisi ya sheria na mikataba arudishe nyaraka halisi baada ya kunakili na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.

However, all these bitter statements kutoka kwa Miss kishoa zimetoka siku chache kabla ya baraza la wafanyabiashara ambalo Kafulila ni Mjumbe na tarehe 1 mwezi wa sita nyaraka zote zimekuwa released na wamenukuliwa baadhi ya watu wa karibu na Diblo wakisema they know how to drive governments up the wall until Diblo gets what he wants.!!
Hiki kizungu ni kama cha Dkt Musukuma
 
Mkuu sorry Diblo ni nani!!
 
Back
Top Bottom