Ndugu zangu wasukuma na wanyamwezi tatizo pale ni Rege.Huyu msomali anayejifanya mnyamwezi ndio analeta fitna pale,moteeni msomali huyo,yeye ndiye ameanzisha fagi hiloWanachama wa CCM Tabora Mjini wamefunga ofisi kumzuia Katibu wao wa Tabora Mjini asiingie. Hii inadaiwa kwa sababu ya kuwagawa wanachama na hivyo kuhatarisha uhai wa chama hicho kikongwe!
Wanachama wa chama hicho wameapa kutofungua ofisi hiyo hadi katibu huyo atakapohamishwa au kufukuzwa nafasi yake ya ukatibu!
Source: ITV habari za saa
Wapelekewe bakora wachapane tujue kama kweli wana hasira