CCM Sinza yasambaratika!

CCM Sinza yasambaratika!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,911
Viongozi wa tawi la ccm sinza leo wamewasilisha barua za kujiuzulu mbele ya waandishi wa habari ITV
 
Wakija wenyewe wenye uchungu na chama chao utasikia walikuwa mzigo kwa chama na ni magamba ndani ya chama.Theeeeee ngoja wenyewe waje hapa tuwasikie.Hapa na kumbuka ule msemo wa bandu bandu humaliza .............
 
Huku utata kibao kuna uchaguzi kila siku unapangwa kurudiwa ila vurugu zinatokea za uenyekiti sinza c (selungwi vs Zumba)
 
Sinza zipo Kata kibao za CCM ni kata ipi hiyo?
 
Hawa watakuwa wamesikitishwa na kauli ya Nape kuhusu M4C Fund raising.......waweke wazi kwa kweli,wapi Lema chukua hao mateka wamejikomboa
 
Huku utata kibao kuna uchaguzi kila siku unapangwa kurudiwa ila vurugu zinatokea za uenyekiti sinza c (selungwi vs Zomba)

Sijagombea Sinza, huo ni uzushi, nitoke Kariakoo nikagombee Sinza? ntajuwaje kuongoza na kuwatatulia matatizo yao wananchi wa Sinza na siishi nao huko?

Wacha kuzuwa.
 
utasikia wangechelewa kidogo tungewatimuwa walikuwa ni mzigo ndani ya chama teh teh nape magamba bwana
 
CCM Mahututi kitandani siku yoyote tutaimba kale kawimbo niagieni!
 
Back
Top Bottom