CCM Sinza yasambaratika!

"Hao ni Oil Chafu Acha waondoke Tunajisafisha" Nape Nnauye

Tumegundua hizo ni propaganda zenu wana CDM. CCM tumetulia na mikakati mipya ya kuigaragaza CDM uchaguzi mkuu 2015 zikiwemo kuchukua kata zote za Sinza
 
Ha ha haa, mkuu hizi siyo zama za Zidumu Fikra za M/Kiti wa Chama!
 
Back
Top Bottom