Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Maisha bora kwa kila mtz, ha ha ha ha ha ha ha haaaaah!
unaweza kuwa sahihi ndugu ila tatizo kubwa la wakopaji wengi wanapoteza malengo mara wapatapo pesa Mkuu nakuingiza matumizi ambayo hayakukusudia na matokeo yake nikushindwa kulipa madeni na kushindwa kufikia malengo.
serikali ni yetu wote japo sio wote tunaokubali mambo yake lakini pamoja na mapungufu yake bado ni muhimu kwetu.