mwanaludewa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 764
- 524
Mfumo wa vyama vingi hauna maana tena kwa ustawi wa demokrasia Tanzania CCM watumie wingi wao bungeni kufuta sheria iliyoanzisha vyama vingi.Kwa mtu timamu huwezi kugeuza siasa kuwa uhasama.Turudi enzi zile za kuchagua mtu na kivuli.
Pale Kenya Odinga alijiapisha kuwa rais wa wananchi hatukuona risasi hata moja lkn Tanzania watu wako barabarani wanaenda kudai viapo unaanza kutumia risasi za moto hivi tuko sawa kweli?
Leo Familia ngapi zina majonzi kwa ajili ya siasa Ben Sanane yuko wapi?Tundu Lissu Yuko wapi?Wabunge wangapi wanakesi za kujibu?Maamuzi ya Mtulia yamegharimu roho za watu wasio na hatia(ni msingi wa madaraka kuanza kunuka damu).