CCM Sengerema yapeleka mashabiki Rwanda

MAFUNZO

Member
Sep 4, 2012
47
29
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza.

Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
 
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza ...Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
Sawa yanga ndiyo timu iliyo shiriki kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika
 
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza ...Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
Duh!

Watu hawana habari ya bandari wala katiba.

Wabongo bwana! We wawekee hapo Yanga na Simba tu basi utawageuza upendavyo
 
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza ...Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Eti Bwana johnthebaptist Chadema na wao watapelekq makamanda wakuisapoti timu?
 
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza.

Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
Sengerema maji ya shida, CCM iko busy na kupeleka washabiki Rwanda 🇷🇼
 
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza.

Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
Uongo huo.
 
Back
Top Bottom