CCM sasa waanza kuumbuana

CCM sasa waanza kuumbuana

Hivi ile tcscan ya Muhimbili mliinunua kutoka wapi vile?

Mtaa Ufipa kwny zile 12 Billion.
Fupa la Lowassa mnalo hilo kishajitangaza kugombea Urais 2020 hakuna cha Kamati kuu wala Secretariet kuamua chochote.
 
Mtaa Ufipa kwny zile 12 Billion.
Fupa la Lowassa mnalo hilo kishajitangaza kugombea Urais 2020 hakuna cha Kamati kuu wala Secretariet kuamua chochote.
Hivi hujui kuwa lowasa ndiye rais wa watanzania takriban 25 million?
 
Hivi hujui kuwa lowasa ndiye rais wa watanzania takriban 25 million?

Hizo Nyimbo mlimuimbia sana Dr.Slaa 2010-2015 mlipopokea Mrahaba wa Mafisadi July 2015 mkaudanganyia Umma eti Mlifanya Research mkagundua yule 'Rais wa Mioyo ya Watanzania' hana ubavu wa kuitikisa CCM.
Mbowe akimpata mteja Mzuri zaid hata Lowassa irabidi ajipange sana
 
Hawa mgambo walikuwa walipwe na CCM au serikali? Tofautisha majukimu ya chama na yale ya serikali. Usije ukajibu kuwa umesema hivyo kwa sababu hii serikali ya sasa inaongozwa na CCM. I know that already. Lazima kutenganisha serikali na chama. By the way, mimi siyo supporter wa CCM.

Unajua maana ya chama kushika hatam?
Chama kiko juu ya serikali !!!!
 
Kufuatia kitendo cha ded wilaya ya Ilemela kushindwa kuwalipa mgambo waliosimamia mitihani ya kidato cha nne mwaka jana, mgambo hao wameamua kumwaga mboga na ocd kuamua kuwapiga mabomu ya machozi na virungu, ccm mtaendelea kuumbuliwa kwa nguvu ya mungu

taarifa ya habari itv leo kuhusu hawa wavujajasho! wazalendo! imeniuma mno! kwanini wasipewe stahiki zao?! haya ni muendelezo wa kuchagua chama kile kile!, wagombea wale wale! ilemela!, chadema sijawahi kuona upuuzi wa namna hii! hii inatokea ccm tu!
 
Serikali iko kwenye peak ya kukusanya.......wavumilie watalipwa !!!
 
taarifa ya habari itv leo kuhusu hawa wavujajasho! wazalendo! imeniuma mno! kwanini wasipewe stahiki zao?! haya ni muendelezo wa kuchagua chama kile kile!, wagombea wale wale! ilemela!, chadema sijawahi kuona upuuzi wa namna hii! hii inatokea ccm tu!
Ccm ni janga lkn naona mwisho wao ndio unakaribia maana wanaharibu kila sehemu walipo saidiwa
 
Ni sawa mkuu haya maoni yako ila nisaidie kitu hapa Wasira alikua Waziri mpaka siku Magufuli anaapishwa ,na ubunge alipigwa chini kwenye uchaguzi huo ,Nape sijui ni Waziri wa habari ila bado ni katibu mwenezi wa chama mpaka pale watakapo tangaza vinginevyo ,sijui tutatenganisha vipi shuguli za chama na Serikali ,
MKUU NADHANI SEACLIF ANGE FAHAM TU KUA KWA SASA SERIKALI NDO CCM NA CCM NDO SERIKALI HADI ITAKAPOKUA VINGINEVYO. MAMBO YAMEBADILIKA SANA KWELI.
 
Back
Top Bottom