CCM Sasa kimefika mwisho

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,270
Reaction score
11,559
Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama.

Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala.

Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
 
Halina ifumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
 
Chama Cha Siasa Kinategemea Hawa
JW,TISS,PCCB,POLICE, PRISON, IMMIGRATION, COURT, TUME YA UCHAGUZI,
 
Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama.

Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala.

Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
 
Huwezi kuwa na akili timamu halafu ukaishabikia ccm. Hata sisi wengine tuna kadi zao ni kwa sababu tu.
 
Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama.

Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala.

Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
ramli nonsense ni kitu useless sana aise dah
 
Uvivu tu wa kutafiti ila ungefanya kautafiti kadogo hiki ulichokiandika usingekiandika.

Nakuhakikishia mapenzi ya watu kwa CCM ni makubwa mno tena sana , nilijaribu kutafiti hili jambo kwa njia zangu nikabaini yafuatayo
1. Wengi wanaamini CCM ndio baba wa Siasa safi na demokrasia
2. Wengi wanajua umuhimu wa CCM katika kulinda amani
3. Wengi wanajua CCM Ina nia na utayari wa kuikomboa nchi hii kiuchumi
4. Wengi wanakiri Bado CCM ni chaguo sahihi kwa Tanzania
 
Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama.

Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala.

Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
Hivi nape yukogo wapi
 
Mapenzi makubwa Kwa mafisadi na majizi. Naomba chadema ikichikua nchi uwa mafisadi na majizi yote hadharan.
 
Mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…