CCM sasa inachanganya madesa

Huyo sio mkuu Wa wilaya huyo?
 
lini acha uongo wee mwanamke..nimesubiri nikaona kimya nifah

Wallah nakuapia! Fungua pm nikutumie screen shot...
Ilikua j/mosi iliyopita. Tena kwa ile # ya tigo.
 
nasubiri maneno mengine ya kitapeli yaliyo jaa utamu au mwana fasii wenu kahama chama. maisha bora kwa kila mtanzania,nguvu mpya kasi mpya na spidi za ajabu.
 
Wallah nakuapia! Fungua pm nikutumie screen shot...
Ilikua j/mosi iliyopita. Tena kwa ile # ya tigo.

mhhh tumia ya voda bana...pole kwa usumbufu ulioupata banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…