Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Wana bodi kufuatia ugumu wa maisha tunaoendelea kushuhudia chini ya utawala wa ccm wa Tanzania wengi tunajilaumu kwa kuichagua ccm na tayari tumekwisha azimia kutofanya kosa kuichagua ccm,tuliahidiwa elimu bora lkn tunachokiona ni bora elimu,tuliambiwa kuna mahakama ya mafisadi lkn bado mafisadi wapo tele serikalini. Kwa kushindwa huku ccm ipo icu