CCM sasa imebakia jina tu


Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
70,201
Likes
32,461
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
70,201 32,461 280
Wana bodi kufuatia ugumu wa maisha tunaoendelea kushuhudia chini ya utawala wa ccm wa Tanzania wengi tunajilaumu kwa kuichagua ccm na tayari tumekwisha azimia kutofanya kosa kuichagua ccm,tuliahidiwa elimu bora lkn tunachokiona ni bora elimu,tuliambiwa kuna mahakama ya mafisadi lkn bado mafisadi wapo tele serikalini. Kwa kushindwa huku ccm ipo icu
1480151483698-jpg.439737
 
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
5,797
Likes
4,573
Points
280
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2013
5,797 4,573 280
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,200
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,200 280
Hivi unajua mafisadi ni kama myth yani kitu cha kusadikika, ni kama tu lile joka kubwa la Lewiathan!
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
57,991
Likes
55,108
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
57,991 55,108 280
Waliokuwa wanaccm wakati wa uchaguzi , sasa hivi wanaona aibu kujiita wanaccm ! Kila unayemuuliza anasema hakumchagua huyo jamaa .
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
57,991
Likes
55,108
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
57,991 55,108 280
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
Hivi ni nani alimpachika cheo cha uongo huyu sendeka ? Katiba ya ccm haina hicho cheo .
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
70,201
Likes
32,461
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
70,201 32,461 280
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
Ccm wameishiwa kila idara
 
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
3,861
Likes
1,754
Points
280
Age
49
Gangongine

Gangongine

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
3,861 1,754 280
Wana bodi kufuatia ugumu wa maisha tunaoendelea kushuhudia chini ya utawala wa ccm wa Tanzania wengi tunajilaumu kwa kuichagua ccm na tayari tumekwisha azimia kutofanya kosa kuichagua ccm,tuliahidiwa elimu bora lkn tunachokiona ni bora elimu,tuliambiwa kuna mahakama ya mafisadi lkn bado mafisadi wapo tele serikalini. Kwa kushindwa huku ccm ipo icu View attachment 439737
Babu, baba yako na mama yako ndio wanaijua CCM! Wewe na bangi zako ndio hivyo!!
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742