CCM sasa imebakia jina tu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Wana bodi kufuatia ugumu wa maisha tunaoendelea kushuhudia chini ya utawala wa ccm wa Tanzania wengi tunajilaumu kwa kuichagua ccm na tayari tumekwisha azimia kutofanya kosa kuichagua ccm,tuliahidiwa elimu bora lkn tunachokiona ni bora elimu,tuliambiwa kuna mahakama ya mafisadi lkn bado mafisadi wapo tele serikalini. Kwa kushindwa huku ccm ipo icu
1480151483698.jpg
 
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
 
Hivi unajua mafisadi ni kama myth yani kitu cha kusadikika, ni kama tu lile joka kubwa la Lewiathan!
 
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
Hivi ni nani alimpachika cheo cha uongo huyu sendeka ? Katiba ya ccm haina hicho cheo .
 
Makonda kwa sasa ana nguvu na ushawishi kwa Mwenyekiti kuliko Kinana.
Sendeka hana la kufanya zaidi ya kusubiri tamko la Chadema apate la kusema
Ccm wameishiwa kila idara
 
Wana bodi kufuatia ugumu wa maisha tunaoendelea kushuhudia chini ya utawala wa ccm wa Tanzania wengi tunajilaumu kwa kuichagua ccm na tayari tumekwisha azimia kutofanya kosa kuichagua ccm,tuliahidiwa elimu bora lkn tunachokiona ni bora elimu,tuliambiwa kuna mahakama ya mafisadi lkn bado mafisadi wapo tele serikalini. Kwa kushindwa huku ccm ipo icuView attachment 439737
Babu, baba yako na mama yako ndio wanaijua CCM! Wewe na bangi zako ndio hivyo!!
 
Back
Top Bottom