Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
wajumbe wasema lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea, upande wa lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si lowassa,
asante kwa taarifa, ila naombea Lowassa agome kuwajibika maana Kikwete hawezi kumwajibisha hii itasaidia kukipasua Chama hicho, nahamu yakuona kikifa kabisa natukakizike bbahari ya Hindi jirani na mpaka wa Mozambique ili kibembwe na mkondo wa maji baridi.
kwahiyo RA ndio CCM, na CCM ndio RA ?Mkuu haiwezekani hiyo. Labda RA aamue.
kweli kabisa tunasubiri kwa hamu unaabiwa jk hana hamu anatamani asingekuwa m/kitiimekaa vema, tuombe Mungu awatie nguvu wamaanishe wanachokisema.
Vyama pinzani vimelala badala ya kuzinduka na kujinadi as vyama mbadala wao wanasubiria mpaka ccm wakae sawa ndipo waingie nao ktk kilinge.
NATAMANI Lowassa amkunje Spika, spika amkunje RA, RA amkunje mama Kilango, mara Malecela aingilie kati.....watu weweee, na wakiue tu chama chao, kinanuka.Yaaani siyo pamewaka moto Hao Wamezuzuka! Wamekuwa Mazuzu
kweli kabisa tunasubiri kwa hamu unaabiwa jk hana hamu anatamani asingekuwa m/kiti