CCM out

CCM out

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
16,847
Reaction score
34,303
1444197579946.jpg
 
Unajua kuna kitu kimoja kinanifanya nishindwe kabisa kuielewa siasa ya kibongo bongo, na kunifanya nijiulize maswali kadhaa?!

Huyu Lowasa alipokuwa CCM watu si walikuwa wanamwona hafai hata chembe, sasa leo nashangaa baada ya kuingia upinzani watu haohao wamebadilika na huwaambii kitu kuhusu Lowasa. Na ukumbuke kuna baadhi ya watu walikuwa wanawapinga na hawawakubali upande wa upinzani, cha ajabu sasa na hata hao wasiokubali upinzani sasa wamehamia upinzani sababu ya Lowasa.

Sasa nyie watu mnaoifuatilia au sijui niseme mnaoijua siasa, hivi mna uhakika gani kama Lowasa ana mapenzi ya kweli na upinzani?

Mwenzenu anaweza akawa bado CCM damu amekuja upinzani kuwaharibieni, pengine ilionekana mna nguvu sana, sasa wakaamua kumtumia Lowasa kuja huko upinzani kuwapunguzeni nguvu.

Lowasa ni CCM damu na hawezi hata siku moja kuisaliti CCM kiukweli, ni kamchezo tu.

Hapana, hapa kuna mchezo unachezwa sema watu wengi hawajaamka
 
Utajijua, na hako kamchezo ndo kanampeleka madarakani na kura zote za watu tunaojitambua tunampa LOWASSA,watu hatukujali upuuzi wa silaha litakuwa hili shombo lako ambalo hata inzi hawalifuati.
 
Tulia wewe Nyapu.

Sitaki mabishano wala malumbano na wewe.

Umesikia?
 
Tukutane 25 Oct.
Watakaozimia siku hiyo watazinduka kwa sherehe ya kumuapisha rais MAGUFULI Nov. 02 kabla ya Lowasa kutangaza kujiuzulu siasa Nov. 07 2015.
 
Tulia wewe Nyapu.

Sitaki mabishano wala malumbano na wewe.

Umesikia?

Kuna harufu ya CCM kuondoka madarakani.Miundombinu na mfumo wa chama umefeli kuleta tija kwa Wananchi,tena kwa miaka 54.Kwa kuwa Lowassa ameikana CCM na mambo yake yote basi tunamchagua kwa kura nyingi na za kutosha.
 
Unajua kuna kitu kimoja kinanifanya nishindwe kabisa kuielewa siasa ya kibongo bongo, na kunifanya nijiulize maswali kadhaa?!

Huyu Lowasa alipokuwa CCM watu si walikuwa wanamwona hafai hata chembe, sasa leo nashangaa baada ya kuingia upinzani watu haohao wamebadilika na huwaambii kitu kuhusu Lowasa. Na ukumbuke kuna baadhi ya watu walikuwa wanawapinga na hawawakubali upande wa upinzani, cha ajabu sasa na hata hao wasiokubali upinzani sasa wamehamia upinzani sababu ya Lowasa.

Sasa nyie watu mnaoifuatilia au sijui niseme mnaoijua siasa, hivi mna uhakika gani kama Lowasa ana mapenzi ya kweli na upinzani?

Mwenzenu anaweza akawa bado CCM damu amekuja upinzani kuwaharibieni, pengine ilionekana mna nguvu sana, sasa wakaamua kumtumia Lowasa kuja huko upinzani kuwapunguzeni nguvu.

Lowasa ni CCM damu na hawezi hata siku moja kuisaliti CCM kiukweli, ni kamchezo tu.

Hapana, hapa kuna mchezo unachezwa sema watu wengi hawajaamka

harufu hapo hakuna kamchezo wala nini, soon lowassa ndio raisi wako.
25 Oct utakuja na majibu
 
Kuna harufu ya CCM kuondoka madarakani.Miundombinu na mfumo wa chama umefeli kuleta tija kwa Wananchi,tena kwa miaka 54.Kwa kuwa Lowassa ameikana CCM na mambo yake yote basi tunamchagua kwa kura nyingi na za kutosha.

harufu hapo hakuna kamchezo wala nini, soon lowassa ndio raisi wako.
25 Oct utakuja na majibu
Tuombe uzima.

Tutaona.

Halafu msije kusema kura zenu zimechakachuliwa
 
Kwa kuwa Lowassa bado ni CCM sisi wapumbavu,malofa na mbumbumbu kura zetu tunampa LOWASSA halafu tutazilinda tuona kama CCM watakwenda kuzichukua katika sanduku la kura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom