CCM onesheni uzalendo kwa kuwafuta uanachama waliotajwa kwenye ripoti za mchanga wa madini

thubutu yake, maana sasa hivi ndio kwanza wamekua watetezi wa wanyonge, hawawajui waliosaini hiyo mikataba
 
Nakumbuka kuwa CCM ilishasema haitamvumilia atakayekutwa na kashfa ya ufisadi...tusubiri vikao halali vya chama...Kamati ya maadili ilisema inaendelea na kazi...Genge la kuwatunza mafisadi likae mkao wa kula
 
Nani wakumgusa Chenge? Magufuli mwenyewe ajafungua mdomo kumuongelea.
 
Mwenyekiti wa CCM.., hebu tueleze sasa.., hivi ile taarifa yako ambayo umeipokea jana, imemtaja Chenge (mwenyekiti wa bunge) na wanachama wako wengine (wapatao 12)..., Je, wanapaswa kuendelea kuwa viongozi wa umma na wanachama wako!? Ikiwa, wewe unajipambanua kwamba haupendi wezi, Mafisadi, wabadhirifu na matapeli..., sasa, hawa wanachama wako hadi sasa kwanini hawajarudisha kadi za chama chetu!? Chenge kwanini bado ni mwenyekiti wa bunge!??? Just asking!
 
Salaam
Kwa hali jinsi ilivyo na jinsi watu wanavyoitupia CCM lawama kwa yale yaliotokea kati ya Serikali na ACACIA najiuliza je Chama hakitaamua kujisafisha kwa kuwafuta uanachama watu wafuatao?

1.Chenge

2.Ngeleja

3.Dr kafumu

4.wale wote waliousika kukichafua Chama katika ubashilifu na ufisadi.
 
Salaam
Kwa hali jinsi ilivyo na jinsi watu wanavyoitupia CCM Lawama kwa yale yaliotokea kati ya Serikali na ACACION, soon Chama kitaamua kujisafisha kwa kuwafuta uanachama watu wafuatao :

1.Chenge

2.Ngeleja

3.Dr kafumu

4.wale wote waliousika kukichafua Chama katika ubashilifu na ufisadi.
Nimawazo yako hayapingwi
 
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
Salaam
Kwa hali jinsi ilivyo na jinsi watu wanavyoitupia CCM Lawama kwa yale yaliotokea kati ya Serikali na ACACION, soon Chama kitaamua kujisafisha kwa kuwafuta uanachama watu wafuatao :

1.Chenge

2.Ngeleja

3.Dr kafumu

4.wale wote waliousika kukichafua Chama katika ubashilifu na ufisadi.
Ubashirifu ndio ubadhirifu? maana kiswahili kinakua sana
 
Salaam
Kwa hali jinsi ilivyo na jinsi watu wanavyoitupia CCM Lawama kwa yale yaliotokea kati ya Serikali na ACACIA, soon Chama kitaamua kujisafisha kwa kuwafuta uanachama watu wafuatao :

1.Chenge

2.Ngeleja

3.Dr kafumu

4.wale wote waliousika kukichafua Chama katika ubashilifu na ufisadi.

Thubutu! CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao na wao:rolleyes:!
 
Salaam
Kwa hali jinsi ilivyo na jinsi watu wanavyoitupia CCM Lawama kwa yale yaliotokea kati ya Serikali na ACACION, soon Chama kitaamua kujisafisha kwa kuwafuta uanachama watu wafuatao :

1.Chenge

2.Ngeleja

3.Dr kafumu

4.wale wote waliousika kukichafua Chama katika ubashilifu na ufisadi.

Kama kawaida Mkuu wale Fisi wetu mashuhuri tuliowazoea watabeba hiyo mizoga na kuifanya iwe Kitoweo kitamu Kwao.
 
Ccm haisafishiki hata wakifutwa wote,huo ni ukoo wa panya, walete mikataba ya Gas tuone kina nani pia watafutwa, walete mikataba ya kununua ndege na SGR na mikataba ya kuuziana nyumba za serikali tuone nani atabaki ccm,
 
Labda wafute chama chote maana hata wanachama wa kawaida ni matapeli hasa huku mtaani
 
Back
Top Bottom