Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
Nasema toka CCM unanuka rushwa...tokaa,
nasema toka CCM umejaa ufisadi... tokaa,
nasema toka CCM umejaa ulaghai... tokaa,
nasema toka CCM unanuka uongo... tokaa,
nasema toka CCM umejaa kiburi... tokaa,
Kitanda chako kina kunguni... tokaa,
nataka nilichome moto godoro... tokaa,
toka CCM kwa hiari umejisahau mno... tokaa,
usipotoka CCM nitakung'oa kama Jino... tokaa