CCM nyaya zimegusana

Wasukumwe ndani
 
Nchi za Africa & Middle East bila uDictator haziendi, ni kupotezeana mda tu
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1747824734726.mp4
    579.6 KB
Hao dawa ni kuwachonganisha tu, wamalizane kabisa.

Moto uchochewe zaidi kina polepole wengi wajitokeze
 
Polepole huyo ameamua kuchomoa betri tanker la mafuta lilipuke! Yajayo yanafurahisha sana mwaka huu🙄
 
Leooo nachekaa sanaaa
Zinaibuka thread lisaaa zinazinwaaa shwaaa
Ukifungua mchana hizoooo

Liasaaaaa shwaaaaaa

Kuleni mondeeee mtakufa na siasa
Mkuu mm hata sielewi Kuna nini huko viunga vya Lumumba leo, naona siredi zinashuka tu zimejaa shangwe na nderemo..hv Kuna nini mkuu?
 
Zandani zinasema sa100 amesusa na hataki tena, makombora yamemuelemea msoga anakula kupitia mgongo wake. sasa anaona bora akalee tu wajukuu awaachie kiti chao
Hahahahaaaa🤣🤣🤣
 
NAKULA ZANGU RAGGAE HAPA..... KUNA MWALIKO WAKO WA Kitimoto NA TUMAJI TUCHUNGU. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SANA, YALIYOJAA FURAHA, AFYA TELE, NA MAFANIKO CHANYA KWENYE KILA JAMBO UTAKALOLIFANYA.
HAKIKA HUU MWAKA TUNAENDA KUSHUHUDIA ANGUKO KUBWA LA SHETANI.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…