CCM ni ma-genius wa Siasa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,556
2,000
Hiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!

Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!

Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!

Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, fikiria tu mtu kama Nape Nnauye nani alijua kama baada ya miaka 5 angemaliza muda wake na kupisha wengine? Nipe mfano wa Chama kinachofanya hivyo hapa TZ au hata nje ya mipaka yetu, ndo maana hata watu kama akina Kingunge walifikiri wako juu ya Chama kwa kutishia kujitoa, wamejitoa lkn hakuna hata kilichobadilika ni kama hata hawajafanya kitu, na hii imewezekana tu kwa sababu ya mfumo mzuri wa CCM waliojiwekea ambao ndio unaowafanya waendeelee kuwepo, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
 
Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
3,931
2,000
Haya bana. Mnaotetea masilahi ya chama. Wengine wanatetea masilahi ya nchi na wananchi wake wengine vyama vyao. Hapo ndiyo kazi sasa iliopo.
Hongera zako, komaa huenda ukachaguliwa kuwa dc siku moja sbb hiz za kulipwa buku 7 ni ndogo sana kwa maisha ya sasa. POSHO ZA KWAO ZIPO PALE PALE ILA ZA WENGINE MNAZIKATA AU KUZIONDOA.
MBane matumiz kbsa ili uchaguz ujao muwe na pesa nyingi za kuwalipa DIAMOND, DARASA, MRISHO MPOTO, NA WENGINE SBB KAMPENI ZENU HAZINA TOFAUTI NA FIESTA
 
maladoi

Senior Member
Jun 20, 2016
117
225
Hiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!

Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!

Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!

Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
Majigambo ya hovyo kabisa. Zanzibar itaendelea kuwatesa mpaka mwisho wa dunia.
 
saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
299
1,000

kuiba kura na kukataa tume huru ya uchaguzi
 
mziki

Member
Dec 1, 2016
44
95
Leo ndo nimeamini kuna watu akili zao ziana matatzo , barbarosa kaongelea u genius wa ccm watu wenye utindio wanasema tetea maslai ya chama ipo siku utapata cheo.badilikeni vijana siasa ndo tatzo kwenu na upinzani
 
Manyallaboy

Senior Member
Jul 26, 2015
194
225
Leo ndo nimeamini kuna watu akili zao ziana matatzo , barbarosa kaongelea u genius wa ccm watu wenye utindio wanasema tetea maslai ya chama ipo siku utapata cheo.badilikeni vijana siasa ndo tatzo kwenu na upinzani
Wengine wakiota WACHOCHEZI lkn wengine wakitukana WAKOMAVU wa siasa.
aya bwana, TUMEJIPANGA MWAKA HUU WATAISOMA
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357
2,000
yani Humphrey Polepole joka la kibisa ndiyo S.I unit ya u-genius wa CCM??

kituko cha karne hiki.
tatizo la bosi wao anawateua kwwa kuwasikia wanaropoka
makonder
gambo
polepoleangeniwekea bhashe ningemuona phd yake inamsaidia lakini hawa...........
hakuna jipya km gambo na makonder wao ni kukimbizana na wapinzani badala kufanya nao kazi wajenge nchi

pathetic
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,914
2,000
Hiki Chama kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo na sababu ni kwamba CCM inaelewa Siasa za Dunia kuliko siajabu Chama chochote kile barani Afrika kama siyo sehemu kubwa ya Dunia!

Kwa mfano CCM imekuwa madarakani kwa miaka mingi sana ukilinganisha na Vyama vingine, lkn tofauti na vyama vya nchi nyingine kama vile ZANU-PF, KANU au sijui MPLA -Angola &Co. ambapo kwenye hizo Nchi unaweza kuita Viongozi wao Madikteta na hoja yako kuuzika kwa maana wanaongozwa na Kiongozi mmoja miaka yote, lkn hapa Tanzania kwetu huwezi kuita Udikteta kwa maana ndani ya CCM ni demokrasia pure, kwamba Uongozi una ukomo hivyo basi kila baada ya miaka 10 huja Kiongozi mpya, na hii ndo Janja kubwa ya CCM, hapa ndipo genius ya CCM ilipo!

Hivyo basi tofauti na Syria, Libya au sijui Kongo ambapo ilikuwa rahisi kujenga hoja ya Udikteta na kupata sapoti ktk nje hapa kwetu huwezi kupata sapoti kwa maana kila kitu kiko wazi na watu wa nje hawawezi kuikubali hoja ya Udikteta Tanzania kwa maana hakuna Kiongozi Dikteta kwa maana halisi ya neno na ndo maana ni ngumu sana Upinzani kuishinda CCM ndani na nje ya Nchi!

Na sasa kama hiyo haitoshi CCM inabadilika kuendana na muda sasa kuna damu mpya watu kama H.Pole pole ambao wana mawazo mapya jinsi ya kuijenga na kuiboresha CCM, the old guard imeeenda, fikiria tu mtu kama Nape Nnauye nani alijua kama baada ya miaka 5 angemaliza muda wake na kupisha wengine? Nipe mfano wa Chama kinachofanya hivyo hapa TZ au hata nje ya mipaka yetu, ndo maana hata watu kama akina Kingunge walifikiri wako juu ya Chama kwa kutishia kujitoa, wamejitoa lkn hakuna hata kilichobadilika ni kama hata hawajafanya kitu, na hii imewezekana tu kwa sababu ya mfumo mzuri wa CCM waliojiwekea ambao ndio unaowafanya waendeelee kuwepo, hivyo basi ni ngumu sana kwa Upinzani kuweza kuishinda CCM si kwa kura au hata kwa hila tu labda kujaribu kupata sapoti nje ya nchi kwa maana CCM iko vizuri na ina demokrasia kubwa!
Ugenius wao umetusaidia nini zaidi ya kuutumia kutuibia rasilimali zetu kwa kuingia mikatana mibovu na kula pesa za miradi hadi kutusababishia umaskini mkubwa na tunaendelea kuishi chini ya dola moja kwa siku
1.Ugenius wenu umeinua kilimo??
2.ugenius wenu umejenga viwanda??
3.ugenius wenu umemaliza tatizo la ajira ??
4.ugenius wenu umetupunguzia wimbi la umaskini??
5. Ugenius wenu umesaidiaje kuongeza thamani ya shilingi yetu??
6. Ugenius wenu umesaidiaje kupandisha kiwango cha elimu??
Naomba unisaidie hapo niweze kuelewa ugenius wa ccm umesaidiaje taifa hili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom