CCM ni kinyonga

Sawa wacha tusubiri.
 
Vyovyote iwavyo iwe mama anania njema au kuna jambo ameficha moyoni mwake lakini hatua aliyoifikia so far so good lazima tumpongeze, hatutaki turudi kule tulipokuwa.

Shida kubwa ni hawa chawa na mafidhina.
Nia njema ndio hii ?
 
Katika maraisi wa hovyo basi Jiwe alikuwa wa hivyo sana, kifo chake kimetokana na damu za watu zilizo mwajika.
Na vifo vya Mkapa na Nyerere vilitokana na nini ?
 
Nchi hii hakuna upinzani,bali kunawachumia matumbo kwa kivuli cha vyama vya siasa,usifikiri hao wapinzani uchwara hawajui watendalo.kifupi wanalamba asali vyema sana,na hayo ndio maridhiano.

Tofauti ya uongozi huu na uliopita ni kwamba hayati Magufuli hakutaka unafiki,hawa wa sasa unafiki na hadaa ndio kipaumbele chao,
Ndio maana Magufuli alichukiwa sana na hivi sasa wanahangaika na mzimu wake
 
 
Kama chadema imeshimdikana kufa kipindi Cha MEKO basi kabla hujafa chadema itakuwa chama tawala nipo pale.
 
Vp kuhusu kifo Cha Mkapa aliyetangulia kabla ya Magu?
Unakumbuka mauwaji aliyoyafanya Januari 2001 hadi wapemba wakahamia Shimoni?

Kwa mara ya kwanza Tanzania ilitoa wakimbizi wakati wa Mkapa.
 
Unakumbuka mauwaji aliyoyafanya Januari 2001 hadi wapemba wakahamia Shimoni?

Kwa mara ya kwanza Tanzania ilitoa wakimbizi wakati wa Mkapa.
Kama ni hivyo Itakuwaje sasa kuhusu Maasai waliouawa ngorongororo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…