Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
Naweza sema hakuna chama chenye misingi imara nchi Tanzania kama Chama Cha Mapinduzi.
Japo vyama vingine vina watu wenye weledi na maarifa zaidi ya viongozi waliopo CCM.
Tukumbuke kwamba wanachama wa CCM ni walewale na wanaongoza bado ni wale wale hata baada ya hayati JPM kuondoka bado sina matumaini makubwa na wale waliopo.
Wiki hii chama kitapata mwenyekiti mpya lakini je unadhani anaweza kwenda kinyume na miiko na misingi ya chama chake.?
Jibu hapo ni hapana kwangu mimi hivyo basi yatupasa sote kusimama kutetea mambo ya msingi ya nchi yetu na kuacha kushabikia mambo ambayo yanapita.