Watakuwa ni wachawi sana. Hadi wanaogopana kwa kurogana.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Nawapenda watu wasiojulikana coz wametuchangamsha akili, mafuvu yatarudushiwa akiki kwenye jamii zetu, binadamu akipata changamoto uwezo Wake wa kufikiri huongezekaDunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Hata watekaji hawawezi kujulikana kwasababu hawatakiwi wajulikaneNa huo nao ni upekee wa CCM. Hawajulikani lakini wenyewe wanaamini wanajulikana ulimwenguni pote.
Kila wanachokifanya ni lazima waseme "haijawahi kutokea" Hawa jamaa kila wakifanyacho ni cha kipekee.
Kabisa...Nawapenda watu wasijulikana coz wametuchangamsha akili, mafuvu yatarudushiwa akiki kwenye jamii zetu, binadamu akipata changamoto uwezo Wake wa kufikiri huongezeka
CCM siyo chama Bali ni mkusanyiko au genge la majizi,matapeli na majinga yanayonufaika na ujinga wa wajinga.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Wanalazimisha watu wafikiri wanavyotaka wao, na wamegundua wanao waongoza ni masikini na ni wajinga wengine wakiona fursa ya mikopo wana ahirisha kufikir kwa nafsi wanakuwa wapumbavu, wakati wa uchaguzi ndipo kuna fursa, wanawapa mikopo eti ndiyo fursa, tena bila kuwapa elimu stahiki ya ujasiriamaliKabisa...
CCM kipekee huamini wanachosema wao ndiyo kitu sahihi na kinatakiwa kuaminiwa na kila mtu.
Na upekee wa CCM huja pale baadhi ya watu wanapoanza kupinga hoja za CCM. Kwa kuwa CCM Ina upekee wa kutorekebisha makosa yake, kipekee kabisa hulazimisha wapingaji wauone ukweli uliomo kwenye hoja ya CCM.
CCM DAIMADunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
CCM DAIMAni kama tu ulivyo upinzani wa Tanzania katika ujumla wake ulivyo wa kipekee,
yaani chuki imekithiri baina yao lakini pia, katika upekee wa vyama moja moja nya siasa, kuna chuki, uhasama na uadui wa kutisha ndani yake.
kwa mfano kuna vyama, ipo nafasi ya uongozi ni exceptional, unaambiwa ukitaka kuigombea hiyo ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi. huwezi kukuta kitu kama hiki dunia nzima, ispokua kwemye chama hiki cha siasa Tanzania pekee.
Zaidi sana,
vyama vingine vyote vya siasa vianweza kufanya chaguzi zao za ndani kwa salama na amani,
ila kuna chama lazima watu walowe kafara, lazima watu wachukuliwe misukule halafu eti inasingiziwa eti ni kidnapping dah...
upekee mwingine katika upinzani wa Tanzania,
ni uchu wa madaraka, tamaa ya mali na vyeo, wapinzani wako tayari kujiuza kama makahaba wa kisiasa, mbaya zaidi wako wanajioni ni malaika na wanajipa umuhimu wa kiwango cha zaidi ya Mungu, kwamba ati wanachosema wao tu ndiyo saihii wengine wakisema ni nongwa.
wapinzani Tanzania hawapendani na wanaogopana kama ukoma.
hakuna upinzani Tanzania, wenye nia, mipango au malengo ya kushika dola, kuunda serikali wala kuongoza nchi.
vyama vya siasa Tanzania ni kama saccos na vitega uchumi vya watu binafsi tu.
Ccm daimaDunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Upekee wa CCM unatokana tu na kua wanamiliki masanduku ya kura kiasi Cha kwamba wana uwezo wa kutengeneza matokeo yoyote yale wayatakayo.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Sema watanzania ni wa kipekeeDunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Ni muda wa akina Tlaah,Choice,Comte,Kieembe kuburudika kwa kuwamudu na kupendwa na watanzani,acha wapige mvinyo muda ni wao ,pamoja na boss zao,acha walala njaa tusiwasumbue na mayowe yetu ya njaa.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Wao wananchi Wanasemaga Ubaya Ubwela tu ! Wamemaliza ! 😅😂😂Wala hakuna cha ajabu hapo mkuu, wananchi pia ni wa kipekee , tofauti kabisa na wananchi wa nchi nyingine duniani 🤔
Sababu Watanzania wenyewe wanakumbatia dini, kabila chama,mtu wa mjini au kijijini, utoto mwingi hawajui jinsi ya kuunganisha nguvu zao kwanza, kuangalia nani yupo serious na maendeleo.Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Mkuu,Mmewezaje kushinda kwa 99% wakati huku mtaani jina la chama chenu likitajwa watu hutema mate chini?
Watakaokuelewa ni wachache sana! Ujumbe mzuri sana, hasa kwa wahusika!!Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha kipekee duniani.
Kwa watu wa CCM hakuna wazo iko siku watanzania wataanza kuhoji ndugu zao wako wapi kama watu wa nchi nyingine wanavyohoji. CCM ni ya kipekee.
CCM haiwezi kuwakera watanzania mpaka wakaiasi kama wananchi wa nchi nyingine wanavyoasi vyama vyao vikongwe vya siasa. CCM ni ya kipekee.
CCM hata ifanye mabaya kiasi gani, itaendelea kuwa CCM isiyojirekebisha wala kurekebishwa. Kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee duniani.
CCM ni chama Cha kipekee Sana kiasi kwamba kuhoji huo upekee wake, ni kosa la kimaadili.
Asante sana mkuu kwa ideo hii. Nitaitumis vilivyo kila patakapohitajikaChama cha Laana
View attachment 3173259
Upekee huo wa kutokuelewa mambo ndiyo pia upekee wa CCM.Watakaokuelewa ni wachache sana! Ujumbe mzuri sana, hasa kwa wahusika!!
Hahahahahahaaha kwamba CCM ili upate madaraka inabidi unaniliu?Asante sana mkuu kwa ideo hii. Nitaitumis vilivyo kila patakapohitajika