Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
UKAWA hawaonyeshi utayari hata kidogo kushiriki kwenye Mdahalo unaoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Nyinyi CCM mmeshafanya kikao kirefu na waandaaji kupanga mdahalo utakavyokuwa. Yawezekana mmeshapewa hata maswali na majibu.
Kwa kufanya kikao hicho na waandaaji wa mdahalo,mmevujishiwa mtihani na hivyo mdahalo husika ni feki na hauaminiki. UKAWA wasithubutu kushiriki kwakuwa kuna mambo yameshapangwa. Kama miaka yote CCM hawakutaka midahalo,iweje waitake kwa udi na uvumba mwaka huu? CCM nendeni mkamalizie maigizo yenu.
Kataa neno usikatae wito au uwaka wanahofia yule mgombea wao mgojwagonjwa anahutubiaga dk6 tena mdahalo napendekeza masaa3 tena ya kusimama
Wamevujishiwa kila kitu hata tizi analotia Magufuli ni baada ya kudokezewa kiwango cha kipimo cha BP anachotakiwa awe nacho ili asije kuathiriwa na kemikali zilizotegwa kwenye vipaza sauti.
Mkuu mtu anaweza akaonekana mzima physically lakini akawa amedumaa akili.mfano wewe ni mzima wa mwili ila post yako hii inaonesha unaudumavu wa ubongo.Usitutolee mfano wa kenya huo ndio ulofa wenyewe wa kuiga kila kitu kwanini nichague mugonjwa wakati mzima yupo na huyo kibaki unayempigia mfano kaifanyia nini cha maana hiyo kenya ya kuwachokoza alishabab
How do we measure it and how is it sustainable mkuu