CCM na upepo utapita tu

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa ccm kuwa na kauli mbiu"NI UPEPO TU UTAPITA"
Kila kitu ni upepo tu utapita,hata jambo linalohatarisha amani ya nchi ni upepo,kila kitu ni upepo!
Hawa watu vp?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom