Sasa imechakachuliwaje mbona huelezi au umepewa habari za kwenda kufumania ukaishia njiani?Hii ni picha katika gazeti la majira ikionyesha nape akiwa Mwanza
Sasa imechakachuliwaje mbona huelezi au umepewa habari za kwenda kufumania ukaishia njiani?
eeeh! mtoto wa mwandosyaMtoto wa mwandosya
eeeh! mtoto wa mwandosya
Yaani mtoto wa kufikia au? si wanasema baba yake alikuwa ni yule mwanajeshi!ndio mtoto wa prof.