CCM na uchakachuaji wa maswali.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na uchakachuaji wa maswali....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Crashwise, Sep 17, 2010.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwenye taarifa ya habari TBC1 leo nimemuona mzee Makamba anaropoka kama kawaida yake alisema: wanataka mdaharo ila lazima wajue niwatugani wanaenda kukutanao yaani siku ya mdaharo, maswali yapi yataulizwa siku hiyo akaendelea kusema siyo unawakusawa watukutoka kariako harafu unataka wawaulize maswali si watawaambia jana hawajala na ccm ndiyo imesababisha...na mwisho kasema maswali yawe ndani ya ilani zao....wewe mzee wewe mnataka kuchakachua mpaka maswaliÂ…
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana amekataa mdahalo. Anajua wazi kuwa wagombea wa CCM ni mbumbumbu kuanzia JK. Hawana uwezo wa kujibu maswali ya hapo kwa hapo. Hadi wawe na vidasa- 'ready made answers' ili wachungulie majibu wakiulizwa swali.

  Nadhani hata wangeruhusiwa wafanye hivyo bado wangeshindwa kujibu. Hawa ndo uwategemee waendelee kuongoza nchi hii?
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wanataka kujua maswali ya mtihani kabla ili waandae majibu kabla, wanataka wajue wauliza maswali ili wahonge wasimamizi wa mtihani. wizi mtupu. kwa midahalo niliyoshuhudia nimeona ina maana sana kwani inaonyesha upeo na uwezo wa kila mbunge mtarajiwa katika kuchambua hoja na kujibu. Ila anachokwepa Makamba ni kama vile mkombea wa CCM anapoonekana mbele ya Watanzania kwamba anashindwa kujieleza na kufafanua hoja mbele ya watu. Anakwepa aibu wala hakuna kingine.
   
 4. b

  bonvize Senior Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Ndio hivyo wagombea mbumbumbu na vicha maji hawawezi kujenga hoja na kuzisimamia hivyo ni lazima wakatae midahalo
   
 5. r

  rimbocho Member

  #5
  Sep 18, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio maana kuvuja kwa mitihani hakutaisha kwani CCM inaamini kabisa swali usilolijua huwezi kulijibu.
  Makamba ni miongoni mwa watu wanaoamini fikra zao zaidi kuliko democrasia ya kweli. hupaswi kumwogopa mwanchi akuulize utekelezaji wa ahadi zako kama umezitekeleza au la.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Makamba = parrot.
  Kazi yake kutoa siri za ndani ya ccm. Siri za wizi na uchakachuaji
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Makambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  Kazi unayo mwaka huu,kuwa katibu si lelemamamaaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wakinge uwapendao na CCM, vunja ukimya, zungumza na mwenzako, chagua CHADEMA okoa Taifa lako na mafisadi, badili mfumo na kura yako
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  kuna mwaswali mengine ... yanahitaji ushahidi mgombea hawezi akaropoka hapo kwa papo.. since wapinzani hawa hoja zaidi ya kuibua kashfa ambazo zinahitaji ushahidi.... "mf. akiulizwa kuhusu kufanya kampeni ndege za serikali ..? kama akistukizwa hilo swali na hakuja na risiti kuonesha kuwa zilikodiwa" wa tanzania watamuona sio.

  MZEE MAKAMBA ANAAKILI SANA TU!:smile-big:
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nilimshangaa ma-kamba nilipomsikia anawaponda waalikwa wanaokwenda katika midahalo hiyo kwamba ni watu ovyo, nilishangaa sana.
  Hawa ndio aina ya viongozi wetu. Hawa ndio wanataka tuwapigie kura.
  Yeye anataka mdahalo au moderate yeye. hahahahahaha labda kwa sababu vichwa wazi wa bumbuli (sorry to mention this) wamempa zawadi ya ubunge kijana wake sasa anatukana waliobaki bila haya?
  Ma-kamba ni mshenzi na hana hata chembe ya ustaarabu, wala hakufaa wala hatawahi kufaa kuwa kiongozi.
  Sisi m mtajuta kwa nini mlimuweka kilaza huyu katika uongozi wa juu namna hii madarakani.
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Acha kuropoka! fikiria kabla hujaropoka:confused2:
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mropokaji ni ma-kamba. Kamwambie yeye kwanza.
   
Loading...