Wananchi tuungane kwa pamoja kuikataa hii dhambi ya ukabila ukanda ...
Hawa wanatuchekea tuu kwa kuanzisha mambo ya ukabila na ukanda
Ila vita ikianza hapa utasikia kiongozi yule yuko USA na mwingine yuko UK...
Sisi tunabaki kuuana hapa
Tusikubali kabisa dhambi ya ukabila, ukanda ....
Nyerere alikuwa kiongozi makini sana aliliona hili mapema sana
Hawa wameishiwa sera baada ya kukosa pakutokea kuhusu hela za Swiss, EPA ... wanatuletea ukabila
Anzeni kwenye chama chenu cha wanywa gongo kwanza kuikataa hiyo dhambi ya ubaguzi,mbona pale ufipa mmejaa nyie tu toka kaskazini?au nyani haoni mananiii yake?
Anzeni kwenye chama chenu cha wanywa gongo kwanza kuikataa hiyo dhambi ya ubaguzi,mbona pale ufipa mmejaa nyie tu toka kaskazini?au nyani haoni mananiii yake?
Wapare wanaonekana sii watu kaskazini kwa kuwa wanaisupport ccmThe best PM of Republic of Tanzania has only been C.D.Msuya has has always done the PM job as per Katiba. Alikuwa haongei na vyombo vya habari but he usually made things happen,
Natabiri Mwaka 2015 Kilimanjaro itatoa wapinzani wengi kuliko mkoa wowote ule.