Nianze kwa kusema waziri mkuu bora kabisa Tanzania alitoka kaskazini (Sokoine). Na kwa kweli hata kama sitoki kanda hiyo lakini watu wa kanda hiyo wengi ni makini na wazalendo wa kweli.
Lakini kwa muda Ccm wamekuwa wakisema maneno dhidi ya watu toka kaskazini. Kumbuka maneno kama wamasai ni wavamizi toka Kenya, rais hawezi toka kaskazini, mara watu wa kaskazini wanataka kujitenga!
Siungi mkono Lowassa kuwa rais kutokana na historia yake chafu, lakini nadhani Ccm wanamfanyi fitina si kwa sababu hiyo bali sababu ya kanda anayotoka.
Ccm wanawasema vibaya wachaga utadhani kuna kitu kibaya waliwahi kufanya taifa hili. Inawezekana kipo, lakini wamasai kama ni wavamizi toka Kenya kama wanavyosema, tuambiwe wachaga walifanya nini nchi hii?