Ccm na ubaguzi wa watu wa kaskazini!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Nianze kwa kusema waziri mkuu bora kabisa Tanzania alitoka kaskazini (Sokoine). Na kwa kweli hata kama sitoki kanda hiyo lakini watu wa kanda hiyo wengi ni makini na wazalendo wa kweli.

Lakini kwa muda Ccm wamekuwa wakisema maneno dhidi ya watu toka kaskazini. Kumbuka maneno kama wamasai ni wavamizi toka Kenya, rais hawezi toka kaskazini, mara watu wa kaskazini wanataka kujitenga!

Siungi mkono Lowassa kuwa rais kutokana na historia yake chafu, lakini nadhani Ccm wanamfanyi fitina si kwa sababu hiyo bali sababu ya kanda anayotoka.

Ccm wanawasema vibaya wachaga utadhani kuna kitu kibaya waliwahi kufanya taifa hili. Inawezekana kipo, lakini wamasai kama ni wavamizi toka Kenya kama wanavyosema, tuambiwe wachaga walifanya nini nchi hii?
 
Wananchi tuungane kwa pamoja kuikataa hii dhambi ya ukabila ukanda ...
Hawa wanatuchekea tuu kwa kuanzisha mambo ya ukabila na ukanda
Ila vita ikianza hapa utasikia kiongozi yule yuko USA na mwingine yuko UK...
Sisi tunabaki kuuana hapa
Tusikubali kabisa dhambi ya ukabila, ukanda ....
Nyerere alikuwa kiongozi makini sana aliliona hili mapema sana
Hawa wameishiwa sera baada ya kukosa pakutokea kuhusu hela za Swiss, EPA ... wanatuletea ukabila
 
Unajua kwa nini wanatumia sana njia ya ukabila na ukanda?
Wanajua hii ndo njia pekee yakujinasua ili wananchi waweze kurudisha imani na mafisadi
Ila kwa sasa wajue wamenaswa maana wamecheza na akili zetu for about 52 years for nothing
 
Natabiri Mwaka 2015 Kilimanjaro itatoa wapinzani wengi kuliko mkoa wowote ule.
 
Wananchi tuungane kwa pamoja kuikataa hii dhambi ya ukabila ukanda ...
Hawa wanatuchekea tuu kwa kuanzisha mambo ya ukabila na ukanda
Ila vita ikianza hapa utasikia kiongozi yule yuko USA na mwingine yuko UK...
Sisi tunabaki kuuana hapa
Tusikubali kabisa dhambi ya ukabila, ukanda ....
Nyerere alikuwa kiongozi makini sana aliliona hili mapema sana
Hawa wameishiwa sera baada ya kukosa pakutokea kuhusu hela za Swiss, EPA ... wanatuletea ukabila

Anzeni kwenye chama chenu cha wanywa gongo kwanza kuikataa hiyo dhambi ya ubaguzi,mbona pale ufipa mmejaa nyie tu toka kaskazini?au nyani haoni mananiii yake?
 
CCM ni janga jamani, wanataka tumalizane wenyewe kwa wenyewe lkn kwa sasa haiwezekani tena wananchi tutawamaliza hawa viongozi wanaotuletea ujinga wao.
CC; mabina huko alipo
 
Last edited by a moderator:
Mimi kwetu kanda ya ziwa lakini jamaa wa kaskazini ndiyo wameshika uchumi wa nchi.ccm mtajinyonga tu
 
Ndo maana mkahamua kuanziasha Chaga Development Manifesto(CHADEMA) ili kiweke viongozi wa kaskazini?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Anzeni kwenye chama chenu cha wanywa gongo kwanza kuikataa hiyo dhambi ya ubaguzi,mbona pale ufipa mmejaa nyie tu toka kaskazini?au nyani haoni mananiii yake?

Arusha tumeboresha gongo, sasa inazalishwa kiwandani inaitwa kiroba. Chadema tukikamata nchi watu watafaidika na product ya hapa nchini, ikiwa pamoja na kutengeneza mitambo maalum ya kutengeneza gongo safi yanye alcohol inayoeleweka
 
Anzeni kwenye chama chenu cha wanywa gongo kwanza kuikataa hiyo dhambi ya ubaguzi,mbona pale ufipa mmejaa nyie tu toka kaskazini?au nyani haoni mananiii yake?

Wenzako wanongelea hilo hilo nawe tena unakuja na ubaguzi huohuo unaopingwa hapa aisee kuna watu mna vichwa vigumu na roho ya ubaguzi imewajaa mioyoni mwenu
 
Ubaguzi ni mbaya sana.Nchi hii ni ya WATANZANIA wote.Na anayedhani ana hati miliki anapoteza muda.
 
The best PM of Republic of Tanzania has only been C.D.Msuya has has always done the PM job as per Katiba. Alikuwa haongei na vyombo vya habari but he usually made things happen,
 
Siyo wote,ila inabidi watu wa huko ndio muanze kupunguza ukabila,hasa sehemu za kazi mnakera sana!
 
The best PM of Republic of Tanzania has only been C.D.Msuya has has always done the PM job as per Katiba. Alikuwa haongei na vyombo vya habari but he usually made things happen,
Wapare wanaonekana sii watu kaskazini kwa kuwa wanaisupport ccm
 
Siku zote ukiona Mtu anajihalalisha kwa UDINI,UKABILA na UKANDA ujue kaishiwa hoja.

Huo ukabila na Udini pamoja na ukanda tunaoambiwa kuwa upo Chadema, ni njia tu ya kutuzuga ili tuhamishwe ktk kujadili mambo ya msingi na kuanza kujadili upuuzi.
Hao wanaosema Rais hatatoka Kaskazini wanajisumbua bure kwani Mwaka 2015 iwe isiwe kwa shari au kwa heri ni lazima Kanda ya Kaskazini imtoe Rais wa tano wa Tanzania.
 
Natabiri Mwaka 2015 Kilimanjaro itatoa wapinzani wengi kuliko mkoa wowote ule.

Kwa sasa cdm ina savings ,3 Tlp 1 na ccm 5 hawa ni wakuchaguliwa,ila nipenda unakiri ukweli kwamba cdm itatoa wapinzani wengi kilimanjaro kuliko TLP na wengine ila CCM itaendelea kutawala bungeni na serikali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom