Pamoja na tuhuma zinazowakabili bado wanataka kuendelea kutawala.
Wameshindwa kuondoa umaskini,matokeo yake wamekuja na udini,ukabila na ugaidi. Kama nchi imewashinda so muachie ngapi? Hata aibu hamna mnataka kuendelea kutawala,pumzikeni sera za ccm mbovu wananchi wamewachoka.