Ccm na tamaa ya madaraka.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Pamoja na tuhuma zinazowakabili bado wanataka kuendelea kutawala.
Wameshindwa kuondoa umaskini,matokeo yake wamekuja na udini,ukabila na ugaidi. Kama nchi imewashinda so muachie ngapi? Hata aibu hamna mnataka kuendelea kutawala,pumzikeni sera za ccm mbovu wananchi wamewachoka.
 
Mwizi ni mwizi tu...unayeibiwa mpaka uamue kumkamata mwizi,vinginevyo utakoma nae...
 
wizi wa ccm hapana mmmm.......,watu gani hawa hata aibu hawana,tuhuma zote hizo,EPA,Ufisadi,ujangili,mabilioni ya uswisi,kung'oa watu kucha n.k.Bado wanataka madaraka.Nasubiri kimbemmbe cha mwakani,nitakapokuwa lazima CCM lazima washindwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom