Kwa kuwa Mh Nape ni kiongozi anayejiamini na ni muenezi wa itikadi nina amini anahusika juu ya hili na itakuwa ni busara kujibu hili swala la ukabila lililofanywa na wafuasi wa CCM. Hizi ni siasa za kitoto na hazina maana.Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDIKI na UKABILA.
Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana kwani tunawaona vijana wa CCM waliovalia unifomu zao wamebeba bango moja lenye ujumbe wa kuchochea chuki za kikabila kati ya Watanzania.
Siku moja tutakuja juta kama hatutakemea kwa nguvu zote wale wanaobomoa misingi mizuri ambayo Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alitujengea yaani :- Umoja, Uadilifu na Upendo kati ya Watanzania wote bila kujali Rangi, Kabila au Dini ya mtu.
Naomba thread hii tuitumie bila jazba ili kutoa ushauri nini lifanyike (the way forward), ili kuepuka kutumbukizwa kwenye sisa za kikabila na za kidini ambazo kwa bahati mbaya zimetokea tayari kwenye nchi jirani kama Kenya na Somalia na matokeo yake mnayajua.
Kwa bango hili CCM inatoa Tamko Gani ?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171499-picha-za-uzinduzi-wa-kampen-jimboni-igunga.html
<br />Kati ya majimbo ya Kilimanjaro/Arusha na yale Igunga ni yapi walio na hali nzuri kimaendeleo?
Kati ya majimbo ya Kilimanjaro/Arusha na yale Igunga ni yapi walio na hali nzuri kimaendeleo?
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDIKI na UKABILA.