Ccm na rushwa

Andrew Kellei

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
348
123
Kama katibu mkuu wa CCM alikiri kwamba kila mgombea ametoa rushwa ila wamezidiana uwezo,ina maana kwamba wagombea wote wa CCM waliopitishwa walitoa rushwa kubwa.Kama ndo hivyo CCM itatueleza nini tuwaelewe kama wanaweza kupambana na rushwa?
 
Nikweli ccm haina cha kutueleza kwa suala la rushwa, na inavoonekana ndio kimbilo lao hilo
 
Back
Top Bottom