Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,340
Ngugu wana Jf nakumbuka wiki chache zilizopita Mh zito kabwe alikuwa ktk mvutano mkubwa na wanachama wenzake ndani ya chadema baada ya kupinga kitendo cha wabunge wa CDM kutoka nje wakati mkuu wa chi akihutubia
lakini pia alipinga kitendo cha Mkuu wa CDM kuwa achisha kazi wafanyakazi wawili ktk ofisi ya makao makuu ya CDM
sasaa ameamuwa kuweka wazi kwanini hayo yote yanatokea juu yake eti ni kutokana na chuki dhidi yake baada ya kutia nia ya kugombea uraisi 2015
Huwa naamini kuwa mahali popote pale hata hapa JF kama ukiwa mkweli na muwazi kwa kila jambo hutopendwa na wasiopenda ukweli na uwazi
hivyo Mh Zito Kabwe anaponzwa na ukweli na uwazi wake anaoutowa kwa kila jambo ndani ya chama na kwa wale wasiopenda ukweli wa mambo wataendelea kumchukia zito hadi kufa kwani ndivyo alivyo.
Mh Zito Kabwe,endelea na msimamo wako ilimradi tu usikivuruge chama chetu,
msema ukweli hapendwi mahali popote pale duniani
mapinduziiiii daimaaaaaa :target::target:
unasema asivuruge chama chenu alaf unamalizia kwa kusema mapinduzi daima. Iyo ni slogan ya chama gani icho?chama cha mafisadi! Je ujasikia mh.ZITTO kasema hatokuja huko kwenye chama chenu ccm?yeye atabaki CDM tu,kwa iyo hamtampata ccm! Jana umeandika kuwa Chadema waache siasa za kitoto kuandamana kupinga bei za umeme,leo unakurupuka na Zitto,je huko ccm hamna la kufanya mpaka kila siku muiwazie chadema? Kama waitaka CDM mkubali dr.wa ukweli ili 2015 historia isije kukuacha nyuma. Peoples Power!