mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
Ukipima u-profesale wa maghembe na elimu ya kawaida ya Mnyika kwenye kuwasilisha na kujenga hoja naona tofauti kubwa sana ya maono na mantiki. Huenda hiyo phd ya AVAE ni ile watoto wa mjini wanaita pure head damage (phd).
Maji muhimu tuondoe siasa hapo.
Toka kwa MrArsenal
Mkuu kijana wenu kumbe ni wa mwembeni!
Hoja yake imejibiwa kirahisi sana.
wewe mbwiga nini? tatizo sio kujibu hoja kirahisi bali tunataka maji sio mipashoMkuu kijana wenu kumbe ni wa mwembeni! Hoja yake imejibiwa kirahisi sana.
Ukipima u-profesale
wa maghembe na elimu ya kawaida ya Mnyika kwenye kuwasilisha na kujenga
hoja naona tofauti kubwa sana ya maono na mantiki. Huenda hiyo phd ya
AVAE ni ile watoto wa mjini wanaita pure head damage (phd).
Niliona gari moja ikiwa na bendera na skafu... Ila ninasema ukweli kabisa nilibahatika kumuona mtu mmoja tu akinunua bendera na kujifunga.. Kanda sikuona kabisa..
Mbwiga mke wa babiyo, mmepatikana baada ya kugundulika kumbe makelele yote ni maji moto tu, hayaunguzi hata nyasi!wewe mbwiga nini? tatizo sio kujibu hoja kirahisi bali tunataka maji sio mipasho
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo, hebu lete vivuli vya vyeti vya kijana Mnyika ili tuvichambue, ndiyo maana miongozo mingi, anakwenda na maji sasa.Upi wa mwemben waziri au mbunge?Jibu la hoja ni uwepo wa maji au kazi ambayo inaonekana si miujiza kama waziri asemavyo.Waziri mtupu hajajibu hoja ni blabla tu,tumia akili yako acha kunakili kila kitu.
..Wanasema ccm haijafanya kitu.. Wamepita kwenye barabara gani..
Chadema wanabaguana sana.. Chacha wangwe yuko wapi..? Unataka uendelee utaendelea vpi wakati unawatafuna wattoto wako..? Shonza na mtela kwa kuwa wanatoka mbeya na sio kilimanjaro umewaponza..
Acha ujuha wewe hizo ni kodi zetu na tena tunadai zaidi ya hapo. mmetumia kodi zetu bado hazijawatosha sasa mmeongeza deni la Taifa mtalilipa mkiwa jela hatuawaachi!! Acheni kuwahadaa wananchi hamjafanata lolote zaidi ya kuiba?
Mkuu cikukuelewa pale.. Ila kwa mujibu wa Nape wao watapita sehemu zote ambazo Chadema watapita ili kuondoa sumu (wanavyodai)..
hivi kwa mawazo yako picha itakayopigwa na pro chadema itaonyesha kwenye watu? mbona tunawajua siku nyingi? na chadema kama hawana watu utawaona wanapiga viongozi tu. magwanda bana!