Nimeanza na kauli uchaguzi wa kibabe.... Wtakaoelewa pia n wachacheMagufuli alikua na wasiwasi wa kuwa rais wa kwanza wa mhula mmoja Tanzania. Amefanya aliyoyafanya sasa ameshaapishwa. Lakini ni kheri angekua rais wa mhula mmoja mwenye amani kuliko hali aliyonayo sasa hivi.
Mkuu ule mfano wa jana kukata kimba pale kariako afu unajikausha as if nothing happened uliniacha hoi!!..kilichotokea ndicho waswahili husema, "kuchamba kwingi..."
Inauma sanaaa tutafanyaje sasaMkuu enzi za utoto ushawahi kususiwa Ugali wote home uule peke yako? Yaani ndugu zako wote wanakaa pembeni afu ngoma imejaa sufuria unabaki nayo wewe tu!! Afu wote wapo pembeni wanakucheki!!
Hii ndiyo hali ya CCM kwa sasa!!
Magufuli alikua na wasiwasi wa kuwa rais wa kwanza wa mhula mmoja Tanzania. Amefanya aliyoyafanya sasa ameshaapishwa. Lakini ni kheri angekua rais wa mhula mmoja mwenye amani kuliko hali aliyonayo sasa hivi.
Kuna mtu lazima afe kwa sonona! Hatachukua round huyu!Magufuli alikua na wasiwasi wa kuwa rais wa kwanza wa mhula mmoja Tanzania. Amefanya aliyoyafanya sasa ameshaapishwa. Lakini ni kheri angekua rais wa mhula mmoja mwenye amani kuliko hali aliyonayo sasa hivi.
As far as Magufuli is happy, other people’s happiness is not an issue to him. In his thinking he is commender in chief and we should all obey his commands. The little he knows is that Tanzania is a part of wider society and there are laws and order to prevent human rights.Kaja kushituka asubuhi kumeshakucha kwamba kumbe Watz hawamtaki, ikabidi atumie nguvu za dola kufunga bao la mkono wa kushoto mchana kweupe .
He has forcebly clinched the 5yrs term, now it is a ripe time for him to make appropriate reforms and adjustments in his governance.
Aaah, kumbe unahisi tu.Mi mwenyewe nahisi
Unaposema wa tz hawamtaki! Unamaanisha kwamba Lissu alishinda au? Tuliwaambia hamkusikia!,kura hazipigwi Jf! Hivi kwa akili zenu mlitegemea Lissu atashinda mbele ya Jpm?Kaja kushituka asubuhi kumeshakucha kwamba kumbe Watz hawamtaki, ikabidi atumie nguvu za dola kufunga bao la mkono wa kushoto mchana kweupe .
He has forcebly clinched the 5yrs term, now it is a ripe time for him to make appropriate reforms and adjustments in his governance.
Labda ufe wewe ndugu! Hatuombeani kifo!Kuna mtu lazima afe kwa sonona! Hatachukua round huyu!