CCM na kandambili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na kandambili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Jun 13, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili,

  je CCM imetusitiri kwa madogo kama ya kandambili? ikiwa kandambili ni bora kuliko CCM, basi ni dhahiri kuwa kandambili ni bora kuliko raisi Kikwete pia, lakini shamani kwa wana CCM humu ndani huo ni mtazamo wangu tu!!
   
 2. d

  dropingcoco Senior Member

  #2
  Jun 13, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naona kuna ukweli ndani ya maneno yako
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hii kali!! Nafikiri ni vizuri mkazionyesha hizo hasira zenu kwenye uchaguzi mwezi wa kumi. Maana si ajabu wewe unayetuandikia haya hapa jamvini mwezi wa kumi ukifika utanunuliwa na fedha za kifisadi ukawa kwenye misafara ya Kiikwete au meneja wa kampeni za CCM unasaidia kuipigia debe CCM ishike nafasi kwa mara nyingine.
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tatizo letu watanzania ni wkufunzi wa usoma nyota, yaani utabiri, lakini ni wasoma nyota batili, hasa kazi kubwa tuliyonayo si kutafakari kwa makini ni nini mtu unapaswa kukifanyia utabiri, maana haiwezekani mtu usimame Ubungo na kuangalia kimara harafu useme unatabiri kuwa uwanja wa ndege uko mjono wako wa kulia sasa hapa vipi?
   
 5. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Again this is too much for him
  Mix with yours
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  let me know how
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hivi nikifanya hayo yote hapo kwenye bluu na mwisho wa siku kwenye kura nisiichague CCM kuna ubaya? maana ninaelewa kwenye chumba cha kura nitakuwa peke yangu....ipo shida gani?
   
 8. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uhuru mwingine usivuke mipaka, we sema ccm na si raisi wetu! yaani unamfananisha raisi na kandambili!
   
 9. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hapo unaweza pata picha huyo mtu kwenye maisha ya kawaida ni mtu wa namna gani!si ajabu ameshapata kutakuna hata wazazi wake huyo!
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ana umuhimu kwako wewe, pengine unakula upenuni mwake, mimi ndivyo nionavyo
  maana kandambili imekuwa ni muhimu sana kwangu maana imenisitiri kwa mengi kuliko
  huyo raisi wako, hata hivyo mtazamo wangu usikuumize sana
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wewe naona hiyo imekuuma sana, lakini huyo raisi wako kwangu ni kijana mwenzangu tu, lakini ukweli kwa mtazamo wangu uko pale pale, nimsifie hasa kwa lipi?
  hata kandambili zingenisitiri kwa safari za msalani nisingizisifia, muhi tupingane kwa hoja na si vinginevyo
   
 12. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Yap! Tupingane kwa hoja lakini sio kwa lugha za kejeli na dharau!Wewe kwa mfano tu!kama una baba yako mzazi amekosa kukupa huduma muhimu kama mzazi wako unaweza sema huyo baba hana maana bora hata kandambili?
  Hakuna anayekumbia kumuunga mkono Kikwete wala kumsifia ni haki yako ya Kikatiba!Ila hakuna atakaye kuunga mkono kwa lugha zako za kejeli zisizo na staha wala adabu!
  Lakini huenda umekulia hivyo kwa desturi , mila na imani yako kutumia lugha za ina hiyo!
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mmmh hii kali
   
 14. d

  damn JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu usemalo laweza kuwa kweli ikiwa base line ni kusetiri. Wengi hatuoni na ni dhahiri kila mtz ukimuuliza for five years atakwambia bora ndala au kandambili. Na wanaodai oktober ndiyo kipimo, sijui ni formula ipi wameiweka kuhakikisha kuwa ccm hawataiba kura as last.

  s
   
 15. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hujafahamu kuwa yeye ni kiongozi wala hana daraja la baba, huu mfano wako ni wa zamani enzi za jua lileee litelemke mamaaaa! aiya iya iyaaa mamaaa, hiyo itakusaida wewe na mtazamo wako wa kikwete kuwa mzazi wako
  tatizo watu wanataka jk asikosolewe, mi kwangu ni ngumu, maana sijaumbwa hivyo kuwaramba
  viatu eti kwa kuwa nitaonekana nawakejeli pale nitakapotoa kile ninachokiona kuwa ndiyo msingi wa mtazamo wangu sitaki kuwa kuwa mnafiki juu ya hilo
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  ukifanya hayo huoni kuwa wewe tu ndio utapiga unapotaka. je hao ulio washawishi wakati wa kampeni si utakuwa umewapotosha?
   
 17. P

  Paul S.S Verified User

  #17
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu naheshimu sana hisia zako na mtazamo wako, lakini mkuu mmh lugha uliyotumi. kwamtazamo naona kama kali kidogo, ingawa maana nzima ina mantiki ila jinsi ulivyo iwasilisha mh
   
 18. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hakuna anayekulazimisha au kukushawishi uumunge mkono Kikwete au umsifu Kikwete,Tunazungumzia Lugha Mkuu,umetumia mfano ambao haupendezi .Sidhani hiyo lugha uliyeitumia hapa ungeweza kuitumia ndani ya kadamnasi!

  Naweza kukusifu kuwa wewe sio mnafiki siku utakapo jitokeza kwenye mkutano wa hadhara na kutamka hayo maneno hapo nitakusifu wewe haswa mkweli!

  Lakini upo kwenye PC unaijisfu huko ni unafiki

  Kingine kejeli zako wala hazimwathiri Kikwete kukosa kura au kutoungwa mkono na wengine!

  Hizo lugha unazotumia mara nyingi hutumiwa na vijana waliokulia mitaani ambao hawakupewa malezi mazuri ya wazazi!Kwa hiyo sitoshangaa sana kuona unaendelea kushikilia msimamo wako ya kuwa lugha ulioyoitumia kukosoa upo sawa!
   
 19. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sawa mkuu,
  mi nimekwelewa sana ila bahati mbaya sana sina neno jingine mbadala kwa kuwasilisha hoja yangu,
  nafikiri ukali wa maneno utakujulisha ni kwa gani kwa mtazamo wangu nimegundua kuwa jamaa kikwete ka aprove filure kwa kiasi kikubwa katika 5 yrs yake yeye kama presidee.
  kama angekuwa ni mwanafunzi wangu darasani ndiyo yuko hivyo, basi baada ya kumvumilia sana,
  sasa nimechukua fimbo na kumtandika nayo,
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ya kwa hapo wewe wala hujakosea ni kweli mimi sijalelewa na jumuiya za wazazi za CCM kama wewe hiki ndicho kilichopelekea mimi kukosa malezi ya umoja ya umoja wa vijana wa CCM, na kuwa mmoja wa wanaoitikia tawile kwa kila jambo, hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyopo kati yangu mimi na wewe
  hiyo si kejeli kama unavyodhani, pengine kwa kuwa naupeo mfupi wa tafakari zako juu ya posti ila umejaa sana
  upenzi kwa jamaa kikwete hata kama anakosea, narudia tena kusema yawezekana wewe ni mmoja wa wanaokula upenuni mwake, sasa hili ni lazima likwathili sana wewe, lakini kama ungekuwa ni mmoja wa walioathilika na style ya uongozi wa mkwere basbi ungejenga sana hoja juu ya kwa nini nimekuja kihivi
   
Loading...