Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo uliozoeleka ni ule wa kuunda serikali ya muungano au umoja wa kitaifa. Lakini pia ndoa hiyo inaweza ikaishia tu kwa vyama husika kuwa na muafaka, ambapo chama tawala kinakubali kujumuisha katika ilani yake ya uchaguzi baadhi mambo muimu yaliyo ainishwa katika ilani yu uchaguzi ya hasimu wake. Kwa kuzingatia hayo, napenda nitoe rai ya kwamba kuna haja ya CCM na CHADEMA kukaa pamoja na kubadirishana mawazo juu ya utekelezaji wa sera ya CHADEMA ya na muundo wa serikali ndogo, kwakuwa muundo wa serikali tulionao unasababisha rasilimali nyingi ya taifa kutumika katika uendeshaji badala yamaendeleo ya wananchi.