Ccm na barabara zetu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na barabara zetu....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BABA JUICE, Sep 15, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nduzu zanguni kwani watanzania wote ni ccm?ukipitita barabara ya sam nujoma utakuta watu wanaweka bango katikati ya barabara,mi nauliza hizo sehemu kweli ni kwaajili ya mabango au ndio ccm mabavo, na je nani amewapa kibali....aaaah kumbe ccm ni chama tawala inajiamulia mambo tu....nqa isitoshe wanatumia pesa haswa... Hata chadema wakiambiwa waweke hizo pesa waqtakuwanazo kweli...mimi sioni sababu ya kuweka bango katikati ya barabara ...hii inaonyesha maamuzi ya viongozi wengi wa ccm hawana busara......tuliangalie hili kwa kina.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa ni mashetani........tuwaonyeshe tarhe 31 Oct.

  Sio hapo tu, pale salenda wanaweka bango la kufa mtu, hairuhusiwi. na jamaa wanapiga kazi usiku, na hawaongei na mtu yeyote..wapo kama mabubu, hata polisi wenyewe wa salenda wameuliza, jamaa hawajibu, wanachapa kazi tuu!
   
Loading...