Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!
hii kali kweli yaani kuvunjwa kwa baraza la mawaziri ndo ishara ya kupaa kwa ccm kisiasa!!!
kweli wee kilaza nambari moja Tanzania. Unaangalia matokeo badala ya kuangalia chanzo!!!! Hoja ya kumpigia kura wm ni hoja iliyoanza na wabunge wa upinzani na sio sisi-emu, kwa hilo sisi-emu imekiri udhaifu wa serikali yake mpk inaelekezwa cha kufanya?
In whatever you plan to do, think twice and even more before you do it.
hivi pale ccm nani na nani wanafaa kuwa mawaziri? Mana naona wote wamechafuka.Bado hatujaona mawaziri wakivunjwa bado. je atatumia vigezo gani kuwachagya wengine. Ampe basi magufuli waziri mkuu.
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Usipende sana kupost thread za kiushabiki ukiwa kwenye siku zako za hedhi, unaandika utumbo tu unaokushushia heshima yako.Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.