Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
OK!!!
Ni vizuri baada ya kuvunja baraza la mawaziri then CCM ivunje au katika uchaguzi wake unaoendelea ikapata CC mpya jamani tusidanganyane CC ni kikao muhimu na kinhitajia VICHWA NA SIO URAFIKI NA UDINI
HUU NI USHAURI TU CCM MTAJIMALIZA SANA HASA KWA KUJAZA WAZANZIBARI KATIKA KAMATI KUU BILA KUJALI PROPORTINALITY YA WANACHAMA WENU WENGI WANATOKA UPANDE UPI???
UBEBAJI WA MUUNGANO KWA UNAFIKI ULIKUWA NI ENZI ZA CHAMA KIMOJA NA SI SASA HIVI!!!
IANGALIENI TENA HII CC YENU ITAWAVUSHA KWELI 2015???!!!!!!!
Wajumbe wa CC hawa HADI 2013???
1. Jakaya Kikwete
2.
Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein
(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana- haana jipya anafisadi katika mbuga source Jamiiforum
4. Zakia Meghji haana jipya anafisadi katika BOT,EPA KAGODA source Jamiiforum
5. Dr. Abdallah Kigoda
6.
Steven Wassira haana jipya mzee wa siasa za zamani za uongo na usingizi bungeni-source Jamiiforum
7.
Constancia Buhiye
8.
William Lukuvi haana jipya kiranja wa kuomba miongozo na kutisha wabunge bungeni -souce Jamiiforum
(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi haana jipya alipaswa kuwajibika katika sakata la mabomu mbagala na Gmboto source Jamiiforum
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha haana jipya askari wameendelea kuua raia. songea, arusha etc source Jamiiforum
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib
(KUTOKA SEKRETARIAT)
16.
Wilson Mkama haana jipya anafisadi soko la machinjio Dar na kutisha wabunge source Jamiiforum
17.
Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba haana jipya umaarufu wake kwishney ndio hakutia sahihi muCC! source Jamiiforum
20.
Mwigulu Nchemba Hana jipya binwa wa kuchua wake... amemalizwa kisiasa ARumeru
21. Asha Abdallah Juma
22.
Nape Nnauye hana Jipya ni VUVUZELA la CCM source jamii f