CCM Mwanza yafanya maajabu

CCM Mwanza yafanya maajabu

Mwamson

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
267
Reaction score
92
KATIKA KUDHIHIRISHA KWAMBA KINA MTAJI WA KUTOSHA! CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA WAENEZI NA WAHAMASISHAJI WAKE WA NGAZI ZA MATAWI NA MASHINA,WAMEANZISHA UTARATIBU UNAOKUBALIKA WA KUJITAMBULISHA KATIKA JAMII KWA KUKARABATI NA KUFUNGUA MASHINA MAPYA KWA WINGI NA KWA KASI YA AJABU KATIKA MAENEO NA MITAA YOTE YA YA JIJI LA MWANZA.KWA LEO NINAKUDHIHIRISHIA KWA KUKUWEKEA PICHA ZA VIKAO NA HARAKATI ZA UJENZI WA MASHINA KATIJA MTAA WA KANGAYE KATA YA NYAKATO.HII NI KATIKA PITAPITA YANGU YA KUTAKA KUJUA UKWELI WA HABARI HIZI.WANANCHI WA MTAA WA KANGAYE AMBAO WAMEJITOLEA HATA KUCHANGIWA CHOCHOTE NA CHAMA WAMEWAWAOMBA VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI KUANZIA KATA,WILAYA,MKOA NA HATA TAIFA WAKIWEMO WABUNGE KUKUBALI MUALIKO KUTOKA KWA KATIBU KATA WA NYAKATO ND;MKUMBA WA KUTEMBELEA SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM LA KANGAYE 'B' ILI KUTOA HAMASA YA HALI NA MALI AU HATA KUWAWEZESHA KWA HARAMBEE ZA KUWAPONGEZA,KWANI WAMEONYESHA KWAMBA KWA HIYARI YAO NA KWA UWEZO WAO MDOGO WAMETENGENEZA UHAI WA CHAMA.CCM OYEEE,KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.ANGALIA PICHA HAPO CHINI-Taarifa kwa hisani ya 4664 MWAMSAGA.
 
Attachments

  • Pic_0201_048.jpg
    Pic_0201_048.jpg
    8.9 KB · Views: 874
  • Pic_0125_014.jpg
    Pic_0125_014.jpg
    10 KB · Views: 4,631
  • Pic_0125_015.jpg
    Pic_0125_015.jpg
    10.6 KB · Views: 923
  • Pic_0201_051.jpg
    Pic_0201_051.jpg
    23.2 KB · Views: 1,001
  • Pic_0201_054.jpg
    Pic_0201_054.jpg
    17.7 KB · Views: 1,084
Tatizo sio kufungua matawi je wanachama mtapata?
 
mkuu Mwamson sogea huku furahisha uone wana mwanza wanavyoteketeza ccm
 
Last edited by a moderator:
Safi saana wazalendo tuko nyuma yenu,!

kelele za watafuna ruzuku na viongozi wao wakudumu hazina nafasi kwa watanzania wazalendo wenye macho ya ndani!
 
attachment.php

Duh! haya ndio maajabu kweli Ukistaajabu ya CUF utayaona ya CCM. Kweli hiki chama kimezeeka maana hata wafuasi wake hata wakiwa na umri mdogo wanaonekana wazee kama picha zinavyojionyesha.
 
matanga ya ccm yanafanyika furahisha na kuna jeneza la kijana wao. Zitto anazikwa leo
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wanaopiga kura wapo takriban milioni 27 lakini waliojiunga na vyama vya siasa hata milioni 10 hawafiki, hivyo sisi ambao hatuna vyma mgombea binafsi tutampeleka ikulu.

KATIKA KUDHIHIRISHA KWAMBA KINA MTAJI WA KUTOSHA! CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA WAENEZI NA WAHAMASISHAJI WAKE WA NGAZI ZA MATAWI NA MASHINA,WAMEANZISHA UTARATIBU UNAOKUBALIKA WA KUJITAMBULISHA KATIKA JAMII KWA KUKARABATI NA KUFUNGUA MASHINA MAPYA KWA WINGI NA KWA KASI YA AJABU KATIKA MAENEO NA MITAA YOTE YA YA JIJI LA MWANZA.KWA LEO NINAKUDHIHIRISHIA KWA KUKUWEKEA PICHA ZA VIKAO NA HARAKATI ZA UJENZI WA MASHINA KATIJA MTAA WA KANGAYE KATA YA NYAKATO.HII NI KATIKA PITAPITA YANGU YA KUTAKA KUJUA UKWELI WA HABARI HIZI.WANANCHI WA MTAA WA KANGAYE AMBAO WAMEJITOLEA HATA KUCHANGIWA CHOCHOTE NA CHAMA WAMEWAWAOMBA VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI KUANZIA KATA,WILAYA,MKOA NA HATA TAIFA WAKIWEMO WABUNGE KUKUBALI MUALIKO KUTOKA KWA KATIBU KATA WA NYAKATO ND;MKUMBA WA KUTEMBELEA SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM LA KANGAYE 'B' ILI KUTOA HAMASA YA HALI NA MALI AU HATA KUWAWEZESHA KWA HARAMBEE ZA KUWAPONGEZA,KWANI WAMEONYESHA KWAMBA KWA HIYARI YAO NA KWA UWEZO WAO MDOGO WAMETENGENEZA UHAI WA CHAMA.CCM OYEEE,KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.ANGALIA PICHA HAPO CHINI-Taarifa kwa hisani ya 4664 MWAMSAGA.
 
Maajabu yapi zaidi ya Tembo kuamua kujilinda dhidi ya hao magamba washenzi wa meno ya tembo wetu. Kama ww umeona ajabu baki na umbulula wako usilete hapa
 
Safi saana wazalendo tuko nyuma yenu,!

kelele za watafuna ruzuku na viongozi wao wakudumu hazina nafasi kwa watanzania wazalendo wenye macho ya ndani!

mnafukuza upepo!!!! poleni sana kwani muda na wakati si rafiki tena kwenu magamba!!!!
 
viwanja vya furahisha kuna jeneza limepakwa rangi ya kijani na mbele wameweka picha ya kijana msaliti,yuda isikari yote. Zitto
 
Last edited by a moderator:
infanana ni ile kasi ya misikiti isiyo na waumini ktk barabara zote kutokea dara hadi mbeya..... wanaCCM wanapenda hayo kwa vile kil amradi ni chanzo kipya cha ulaji.
 
Ninyi pakeni rangi sie tunaendelea kufanya mambo,ona sasa msingi wa shina umekamilika sasa hivi ,tunavyoongea mafundi wanakabidhi kazi kwa wanachama.😱na picha.
 
Attachments

  • Pic_0201_055.jpg
    Pic_0201_055.jpg
    13.5 KB · Views: 235
  • Pic_0201_056.jpg
    Pic_0201_056.jpg
    11.3 KB · Views: 211
Watanzania wanaopiga kura wapo takriban milioni 27 lakini waliojiunga na vyama vya siasa hata milioni 10 hawafiki, hivyo sisi ambao hatuna vyma mgombea binafsi tutampeleka ikulu.

hizi ni data za REDET ?
 
Mda huu naandika huu mchango humu jf kuna wachumia tumbo wananing'inia kwenye NGUZO ZA UMEME KUPIGILIA MATAMBALA YAO YA MAGAMBA KIJANI,MCHANA WAMEOGOPA MAANA WALIJARIBU KUTUNDIKA UCHAFU WAO WAKAWA WANAZOMEWA WAKAKIMBIA NA NDO WAMERUDI USIKU HUU KUFANYA UPUMBAFU WAO TENA.Yaani hawajiamini kama wezi vile. Ccm kwisha habari yao,mbeya kiboko yao.
 
Back
Top Bottom