CCM Mwanza yafanya maajabu

CCM Mwanza yafanya maajabu

infanana ni ile kasi ya misikiti isiyo na waumini ktk barabara zote kutokea dara hadi mbeya..... wanaCCM wanapenda hayo kwa vile kil amradi ni chanzo kipya cha ulaji.

we mchaga udini utakuua? we kula siku uko na waislamu we kweli zezeta..bora mama ako angezaa mbege akachanganya na banana akanywa na supu ya makanyagio ya ng'ombe
 
....aagghrr huto tudude tunajengwaga tu hata kwenye shina feki,hahahaaaaa ! Kweli ccm chalii,mi nilizani kunabonge la nyomi....
 
infanana ni ile kasi ya misikiti isiyo na waumini ktk barabara zote kutokea dara hadi mbeya..... wanaCCM wanapenda hayo kwa vile kil amradi ni chanzo kipya cha ulaji.

Na makanisa yasiyo na waumini huyaoni au unafumba macho Nicholaus?
 
mleta mada ameitelekeza post.
chezea Em four si pamoja daima...
 
Duh! Mi nkafikiri nawezakuta ccm mwanza wamfufua mabina kumbe kuzindua mashina ndiyo maajabu...!
 
we mchaga udini utakuua? we kula siku uko na waislamu we kweli zezeta..bora mama ako angezaa mbege akachanganya na banana akanywa na supu ya makanyagio ya ng'ombe
haha.....mnayo shida sana.
 
Na makanisa yasiyo na waumini huyaoni au unafumba macho Nicholaus?
Hakuna makanisa yasiyo na waumini wewe kanyagio..Waumini huwa ndio wanaochanga ..na hivyo wakikosa waumini ina maana hawatamalizia..wakiwa nao ina maana watamaliza kwa ukubwa ambao hautoshi sana,kwani michango huwa ya watu wengi na midogomidogo. HIyo misikiti huwa ni hela ya waarabu,na kila mwenye kikofia anaona ni ulaji kujena popote ili apate ulaji.
 
Duh! Mi nkafikiri nawezakuta ccm mwanza wamfufua mabina kumbe kuzindua mashina ndiyo maajabu...!
Haha....ndio sehemu za ulaji zilizobaki..ujue huyo jamaa aliye coordinate hayo anataka kuitwa juu.Anajua wazi huo ni usanii.
 
Back
Top Bottom